comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,951
Duuh
Yupo USA kwa wiki kadhaa sasa.
Na watu wa karibu wanasema issue mojawapo anayoshugulikia ni suala la tatizo la uzazi alilonalo yeye au mke wake.
Mheshimiwa toka afunge ndoa Miaka 6 iliyopita hajafanikiwa kupata mtoto.
Si raisi alikataza safari za nje au kwa wengine tuakunjue roho apate mtoto.
Who want a replica of that creature? Are u crazy?!akunjue roho apate mtoto.
Wengine wote wamenyimwa kusafiri, Labda amesindikiza ujumbe wa kumsaka Mokili na yule nani yule ehee, Mange. Akileta hizo US harudi Atakuwa mgeni wa Sheriff.Anaonekana kwenye mitandao akiwa Marekani. Nimeshangazwa sana na tabia yake ya immaturity. Hivi Mkuu wa mkoa (by virtue of that position) unatuma picha facebook kuwaonyesha watu uko ughaibuni? That is 13th century style and thinking....
JIPUHuwa nakumbuka anavyo changamsha jiji na nchi kwa ujumla. Mungu amlinde huko aliko yawezekana masomoni
Amewowwaaa!!!???Kaenda kupandikiza mimba kwenye tumbo la uzazi la mkewe .
Kurudi kwa machinga mtaani wanaomchafulia mazingira yake kumemsononesha sana kupita kiasi, ngoja akapunzike kidogo.Nasoma kuhusu DC Happi kukaimu nafasi ya RC, sifahamu Mkuu wetu wa Mkoa yu wapi na nini kimemfanya asitekeleze majukumu yake.
Hope yu mzima wa afya somewhere.
Yuko MarekaniNasoma kuhusu DC Happi kukaimu nafasi ya RC, sifahamu Mkuu wetu wa Mkoa yu wapi na nini kimemfanya asitekeleze majukumu yake.
Hope yu mzima wa afya somewhere.
Kila kitu huja na kupotea
Makonda anakula bata Marekani wakati huo huo anafanya kazi ya kumsaka Mange Kimambi...ahahaaaaaNasoma kuhusu DC Happi kukaimu nafasi ya RC, sifahamu Mkuu wetu wa Mkoa yu wapi na nini kimemfanya asitekeleze majukumu yake.
Hope yu mzima wa afya somewhere.
Ameenda kumsaka mangekwani mh mkuu wa mkoa kwao ni USA?
Kwa Mujibu wa Mange atakua kaenda kupandikiza maana nasikia jamaa hazipandi zenyewe