Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,099
- 24,338
Karudi na gia ya wauza unga lazma wakamatwe maana mmepiga sana kelele
Paul Makonda hebu njoo huku watu wamekumiss sana, hasa ile style yako ya mwisho ya kuwasimanga wenye viti wa serikali za Mitaa wa kutoka Chadema