RC Makonda yupo wapi?

RC Makonda yupo wapi?

FB_IMG_1482948975517.jpg
 
Wenye no yamakonda mpeni ampigie aramwambia aliko
 
Alionyesha Utovu wa adabu kwa Waziri Mkuu, Magu kamstukia akamwambia awe anawajibika kwa Mawaziri wa Tamisemi. Kuonea kwake watu kulileta picha mbaya sana PM akampiga stop.
 
Nimemuuliza swali hilo mtu mmoja kaniuzi kweli. Eti ananijibu kuwa labda kaenda Mombasa kule anakokwenda kiongozi wa UVCCM kwa ajili ya mapumziko. Makonda alitokea UVCCM, sasa huko Mombasa kuna nini mbona wanapapenda hivi?
Au kanidanganya?
 
Nimefurahi kumuona ktk hali na afya njema, Kama we ni msafi nenda likizo km hujiamini komaa hata ukifiwa tuma mwakilishi
 
Wanabodi,
Tangu ziara ya kuzunguka Mkoa wa DSM iliyofanywa na RC wetu sijapata kumsikia tena. Je ni mapumziko ya mwaka mpya au kipi kinaendelea. Mwenye taarifa atujuze!
 
Amepewa refers kwa ma bingwa kupandikiza watoto US maana mwaka 8 sasa bila bila! Usione anaropoka ana stress za mtoto! Anaona noma kwa familia yake na wakweze
 
Back
Top Bottom