Rc Makonda na Steve Nyerere matatani, Msanii wakazi kumuandikia barua Rais kuwashitaki kwa kutowapa wasanii mwaliko maalum kwenda Leaders Club

Nachojua wakazi ni msanii mkubwa sana kuzidi watu wanavyomchukulia watu waliomfahamu juzi watanchukulia wakazi wakawaida
 
Naanza kufikiri kuwa wengi humu wameanza kumfahamu Wakazi baada ya album yake ya kisimani, hawajui kuwa Wakazi amefanya mengi na ana achievements nyingi kuliko rappers wengi tu tz

Sent using Jamii Forums mobile app

Mi ndio nimemjua leo ndugu, ingawaje hata umri umechangia sana sifuatilii tena mambo ya mziki.
 
That's very true, bonge la HEKO wakazi na kwa hasira nashusha nyimbo zako zooote naweka kwny ipod nasikiliza tu kwny mwendokasi..
Na abiria wangu wa kwenye mwendokasi kuanzia kesho mtamsikiliza wakazi kinguvu kulaaaaaalek

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vizuri sana wakazi,sijawahi kulisikia jina lako popote imebidi niende google na kutyipe wakaz bongo flava.
 
Hizi ni enzi Bashite akiwa na nguvu zisizoelezeka. Namshukuru Mungu kwa kutuondolea huyu dhalimu bashite na baba yake kwenye utawala wa nchi yetu. Wasanii waliteseka sana kimyakimya. Bahati nzuri kwa sasa na wao wanamdharau na hawamjali.
 
Hili jiji sio la kispotispoti, ukija kutoka huko kwenu Kandambili lazima uheshimu watu aisee
 
Back
Top Bottom