Rc Makonda na Steve Nyerere matatani, Msanii wakazi kumuandikia barua Rais kuwashitaki kwa kutowapa wasanii mwaliko maalum kwenda Leaders Club

mshana jr,
Dodoki na chambio tena!!! Haya buwana, acha madodoki na matoileti pepa yaje kukujibu. Kweli watu wametumiwa saana ila baada ya kufikisha mzigo wakatupwa Pwaaaa
 
kuna shida kwenye hilo?
Ndiyo kuna shida.. tena kubwaa! huwezi kuitisha kikao na wasanii halafu badala kuzungumzia changamoto zao na pia umewaita halafu unaanza kumuongelea mtu mmoja ambaye yuko mbali na nchi kuwa yeye anavuta!. inamaana aliwaita wasanii kuwaeleza kuwa konde boy anavuta!..
 
Back
Top Bottom