Hahaaaaa, hata mie nlikuwa natafakari hiyo kauli ya watu kununua majeneza..😁😁Hii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?
Hii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?
Kwan mnashindwa?Hii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?
Hii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?
Hii nchi kwa kweli ni ngumu. Tuendelee kuvaa barakoaHata mimi nimeshangaa sana, wachimbe makaburi, wanunue majeneza, wanunue PPE, wakodi na Ambulance kwa ajili ya kwenda kufanya "shooting", Duu!
Kina nani?Kwan mnashindwa?
Baada ya kuwagundua amewachukulia hatua gani hao waliofanya hivyo?Kwan mnashindwa?
Mambo mengine yanafikirisha sana.Hahaaaaa, hata mie nlikuwa natafakari hiyo kauli ya watu kununua majeneza..😁😁