RC Makonda: Idadi ya maambukizi imepungua Dar, kuna watu walinunua majeneza na kupiga picha ili kuzua taharuki

Bulesi

JF-Expert Member
May 14, 2008
7,838
2,000
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Paul Makonda amenena yake kuhusu hali ya Corona mkoani Dar es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari amesema hali sasa inaelekea kuwa shwari, idadi ya wagonjwa inazidi kupungua na kuwatoa hofu wakazi wa mkoa huo
Mmesema wenyewe na Dunia imewasikia kuwa vitendea kazi mlivyonavyo kwa kuweza kuwapima watu kama wana corona havina ubora; sasa hizo data kuwa idadi ya wagonjwa inazidi kupungua inapatikanaje? Acheni kuwafanya watanganyika kuwa mazuzu!!! Kaeni na ukola menu wa kuwaua wananchi wasio na hatia!!
 

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
236
250
Da hivi hawa viongozi wanakwama wapi kutoa kauli kama izi why yatupwe dar na so mikoa mingine? Basi nafikili ulinzi dar sio imara kama mikoani kama ni kweli.

Maana kama watu wana nia ovu ya kuizalilisha serikali wanaweza fanya popote mikoani na kama ndo ivyo niwapongeze kamati za ulinzi zote kutoka mikoani maana hatujasikia ili huko tumelisikia huku jiji la kandoro
 
Top Bottom