Watoto wa mjini wameshinda dhidi ya washamba toka Kanda pendwa.Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!
Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.

Amos Makalla ni muungwana, amenza kufanya kazi za CCM kitambo.Matokeo yake Makonda ndiye amekwenda na maji .
Naomba ziara ya kwanza ya kikazi ya Makalla iwe mkoani Arusha ili Makalla akamfokee Makonda.
Ni kweli. Makala ni mtu na nusu.Amos Makalla ni muungwana, amenza kufanya kazi za CCM kitambo.
Kamwe hataenda kulipa kisasi.
Watoto wa mjini hawana tatizo na watu aina ya Makonda
Wewe bibi mbona uchambuzi wako umegonga ukuta? Makala ni mwenezi sasaBaada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi.
Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana Makonda kwa kusema yeye atawajibika kwa Waziri Mkuu na Rais pekee na si vinginevyo.
Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.
Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!
Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
HaweziMatokeo yake Makonda ndiye amekwenda na maji .
Naomba ziara ya kwanza ya kikazi ya Makalla iwe mkoani Arusha ili Makalla akamfokee Makonda.
We chawa umejisikiaje baada ya makala kuchukua nafasi ya boss wako?Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi.
Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana Makonda kwa kusema yeye atawajibika kwa Waziri Mkuu na Rais pekee na si vinginevyo.
Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.
Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!
Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
Sijui anajisikiaje huko aliko,aisee kwenye siwsa uwe na akiba ya manenoWewe bibi mbona uchambuzi wako umegonga ukuta? Makala ni mwenezi sasa
Heeh !!Tunafukua makaburi sasa.
Hivi wewe Suzy Elias huwa unajaribu kurudi nyuma na kusoma pumba zako unazoharisha?Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.
Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!
Kwakweli bado watoto wa mjini ndio wameshika mpini !Watoto wa mjini wameshinda dhidi ya washamba toka Kanda pendwa.
Haya sasa....Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi.
Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana Makonda kwa kusema yeye atawajibika kwa Waziri Mkuu na Rais pekee na si vinginevyo.
Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.
Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!
Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
Haya sasa....Makonda karudishwa na system kurekebisha mambo hasa Kanda ya Ziwa maana pale ndiyo penye mtaji wa kura na lijamaa limefanya kazi nzuri.Sasa wewe RC unaleta ngebe za kukwamisha mipango,si unaliwa kichwa asubuhi tu!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Hatimaye... Kimeumana!Unataka kusema anchojua Dar ndiyo kipo Mwanza?
UVCCM mnashupaza shingo na hamna uelewa wa mambo madogo tu.
Haya, kumbuka alikuwa DAR kipindi cha Dikteta, na mambo mengi alifanya nje ya sheria of which ndicho anatakkata hata sasa kufanya.
Sasa ni zamu yake kutekeleza maagizo ya mtoto wa mjini...Mawaziri wanatekeleza maagizo sembuse yeye RC, what a joke!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Kimeumana...Makala unayoweza yatekeleze usiyoweza omba ushauri.ukivuliwa cheo utajua kuwa hata kuendesha Boda boda ni kazi nzuri🤣🤣🤣🤣
Kaondolewa kama ulivyotaka. Kazi kwa mtoa maagizo sasa....Yule atolewe tu, kazi hawezi ila kinacho mpa kiburi ni madhabau ya Msoga ila ni mjinga anashindwa kusoma mchezo!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Matokeo yake, meza imepinduliwa....Tonge La Mwisho Ndiyo La Kukombea Mboga
Sasa Makala Anaweza Kupoteza Tonge Lake Hata Kama Anayeagiza Ni Muhuni Pokea/Tekeleza Chap Chap
Yule Bwege usishangae akaendelea kutoa maagizo kwa Waziri namba 1.Sasa ni zamu yake kutekeleza maagizo ya mtoto wa mjini...
Washamba wamewekwa pembeni na watoto wa mjini...