RC Makalla achana na Makonda vinginevyo utakwenda na maji

Acha uongo wewe kaagiza nini kifanyike huko mwanza mkutano yote tumeiona liveeee mambo mengi kagera Geita mwanza mara kelo nyingima Dc na wakurugenzi walizibeba:
 
Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi.

Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana Makonda kwa kusema yeye atawajibika kwa Waziri Mkuu na Rais pekee na si vinginevyo.

Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.

Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!

Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
Mikwara mbuzi hii. Mwambie huyo makonda wako serikali inaongozwa kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu
 
Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi.

Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana Makonda kwa kusema yeye atawajibika kwa Waziri Mkuu na Rais pekee na si vinginevyo.

Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.

Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!

Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
Hako kajamaa sijawahi kukaelewa hata kidogo. Kamekaa kitapeli Sana.
 
RC au Waziri, kiuhalisia, wao siyo viongozi wa chama, na wala hawawabiki moja kwa moja kwa chama. Hao ni viongozi wa Serikali.

Kwenye mifumo iliyotengamaa, huwezi kuona kiongozi wa chama akimwagiza chochote kiongozi wa chama. Kinachofanyika ni Rais kutoa taarifa za utendaji wa Serikali kwenye chama chake. Kama kuna tatizo lolote la kiongozi yeyote wa serikali, chama kinatoa taarifa kwa Rais, ambaye ndiye ana mamlaka yote juu ya wale aliowateua.

Makonda anachokifanya ni fujo ndani ya Serikali.
 
Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi.

Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana Makonda kwa kusema yeye atawajibika kwa Waziri Mkuu na Rais pekee na si vinginevyo.

Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.

Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!

Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
Makala ni rafiki wa karibu sana na rais wa awamu ya 4 na ambaye kwa imani ya Makala hata huo ukuu wa Mkoa alihusika kutoa ushawishi. Hivyo Makala ana uhakika hata amtukane nani bado rafiki yake yupo
 
Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi.

Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana Makonda kwa kusema yeye atawajibika kwa Waziri Mkuu na Rais pekee na si vinginevyo.

Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.

Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!

Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
Wacha weeeeee
 
Hebu rudia tena
 
Makonda karudishwa na system kurekebisha mambo hasa Kanda ya Ziwa maana pale ndiyo penye mtaji wa kura na lijamaa limefanya kazi nzuri.Sasa wewe RC unaleta ngebe za kukwamisha mipango,si unaliwa kichwa asubuhi tu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Kutokana na haya mabadiliko una maoni gani ?
Unadhani ni nani aliyepoteza kati yao?
 
Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi.

Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana Makonda kwa kusema yeye atawajibika kwa Waziri Mkuu na Rais pekee na si vinginevyo.

Nakusihi ndugu yangu Makala, tafadhari, zizuie chuki zako ulizonazo kwa Makonda na pekee fanya ama tekeleza maagizo halali ya Chama kwako kama Mtendaji uliye chini ya CCM.

Wakati huu ni muhimu ukubaliane na halihalisi ya kuwa Makonda ni Kongozi wako wa Chama na kupuuza maagizo yake ni sawa na kukipuuza Chama!

Tenda ama tendwa. Chaguo ni lako.
Saizi Nani atawajibika Kwa Mwwnzie? 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom