SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,767
Hujui kuwa jina linaanza na herufi kubwa? kama kitu basic kama hicho hukijui utajua nini zaidi ya ujinga?
Shida ya elimu ya MEMKWA
Hujui kuwa jina linaanza na herufi kubwa? kama kitu basic kama hicho hukijui utajua nini zaidi ya ujinga?
Usinipangie cha kusema!Acha kumsifia huyo mama..mbona tu wasahaulifu hivyo?
Ni DC au RC?Mkuu wa wilaya ya kibaha asumpta mshama amesema ameumizwa na kitendo cha kupigwa risasi mh Tundu Lisu na kumpa pole nakusema pia huu si uttamaduni wetu watanzania tuendelee kumuombea mh Tundu lisu,:
Source clouds fm
Umeanza kujimilikisha Tundu Lissu? Au Wewe ndio Hamisa Mabetto wa Lissu?
Sikujui naye atakamatwa kwa kushawishi watu wamuombee?Mkuu wa wilaya ya kibaha asumpta mshama amesema ameumizwa na kitendo cha kupigwa risasi mh Tundu Lisu na kumpa pole nakusema pia huu si uttamaduni wetu watanzania tuendelee kumuombea mh Tundu lisu,:
Source clouds fm
Ni Bibi uyo, +50yrs. Ni mchungaji lakini ana roho mbaya sijawai kuona.
Usalama wa taifa wamejificha ficha kwenye uchungaji, sijui kwanini? Hata yule boss wao Kipilimba alikuwa (labda bado) ni mchungaji kwenye kikundi fulani wa walokole.
idadi yao tunayo - its matter of time!!Mkuu wa wilaya ya kibaha asumpta mshama amesema ameumizwa na kitendo cha kupigwa risasi mh Tundu Lisu na kumpa pole nakusema pia huu si uttamaduni wetu watanzania tuendelee kumuombea mh Tundu lisu,:
Source clouds fm
Mme wake ni mmoja wao tena yeye tokea kwa Mwl Nyerere na uyu Mama na yeye anawezakana akawa mmoja wao.
Labda ameokoka baada ya kuwa DC,ila alipokuwa Mbunge alikuwa HAJAOKOKA nadhaniUkiacha siasa za makimba za Ccm..huyu mama ni MTU safi (Personally) ..mlokole hanaga kwere! mungu amlinde..
Hahahah uyu mama mume wake ni mkuu wa kambi ya makumbusho usalama wa taifa.[kikosi cha kumlinda raisi]Huyu siku zake za ukuu Wa wilaya zinahesabika
Tena Kinga yake kubwa sanaUyu Mama ana kinga, hakuna atakaefungua mdomo kumtukana.
Inawezekana hata Osama na sifa zake za nje gaidi, ana mtoto/watoto wenye huruma.Serikali ya mh raisi inajali watu wake siasa pembeni, ongera Jpm kuchagua watumishi bora, ongera mkuu wa wilaya.
Hapana sio ya kawaida na kuhafifisha ujumbe wangu, kukosea Caps kwenye jina no way. Jitahidi mda mwingine uandike vyema, sio kawaida mkuu
YesSio Rc ni Dc
AmestaafuHuyu siku zake za ukuu Wa wilaya zinahesabika