RC Kibaha, Asumpta Mshama ampa pole Tundu Lissu

Mkuu wa wilaya ya kibaha asumpta mshama amesema ameumizwa na kitendo cha kupigwa risasi mh Tundu Lisu na kumpa pole nakusema pia huu si uttamaduni wetu watanzania tuendelee kumuombea mh Tundu lisu,:
Source clouds fm
Ni DC au RC?
 
Sikujui naye atakamatwa kwa kushawishi watu wamuombee?
 
Vp anaejipambanua anautendea haki Mhimili wa Bunge na kiongozi wa Wabunge hajaona umuhimu wa Kumjulia khal Kamanda Lissu
 
Usalama wa taifa wamejificha ficha kwenye uchungaji, sijui kwanini? Hata yule boss wao Kipilimba alikuwa (labda bado) ni mchungaji kwenye kikundi fulani wa walokole.

Mme wake ni mmoja wao tena yeye tokea kwa Mwl Nyerere na uyu Mama na yeye anawezakana akawa mmoja wao.
 
Mkuu wa wilaya ya kibaha asumpta mshama amesema ameumizwa na kitendo cha kupigwa risasi mh Tundu Lisu na kumpa pole nakusema pia huu si uttamaduni wetu watanzania tuendelee kumuombea mh Tundu lisu,:
Source clouds fm
idadi yao tunayo - its matter of time!!
 
Back
Top Bottom