RC Kibaha, Asumpta Mshama ampa pole Tundu Lissu

RC Kibaha, Asumpta Mshama ampa pole Tundu Lissu

K M S

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
524
Reaction score
424
Mkuu wa wilaya ya kibaha asumpta mshama amesema ameumizwa na kitendo cha kupigwa risasi mh Tundu Lisu na kumpa pole nakusema pia huu si uttamaduni wetu watanzania tuendelee kumuombea mh Tundu lisu,:
Source clouds fm
 
Serikali ya mh raisi inajali watu wake siasa pembeni, ongera Jpm kuchagua watumishi bora, ongera mkuu wa wilaya.
 
Ukiacha siasa za makimba za Ccm..huyu mama ni MTU safi (Personally) ..mlokole hanaga kwere! mungu amlinde..
Yaani nyie wepesi kama pamba...ndio maana ilikuwa rahisi zaidi kwa mbowe kubadili gia angani kuliko alivyozani
 
Yaani nyie wepesi kama pamba...ndio maana ilikuwa rahisi zaidi kwa mbowe kubadili gia angani kuliko alivyozani
Komea hapo hapo! Sina kadi ya chama chochote! nachosimamia ni misingi ya haki na siasa za kati na si za uonevu! mambo ya pamba sijui mbowe tafuta pa ya kuyapeleka! BTW hujui Nina tafuta nn JF! ufyate basi mtoto wa kitanga! boya we!
 
Hata rudia tena huyo
 
Back
Top Bottom