RC Kibaha, Asumpta Mshama ampa pole Tundu Lissu

RC Kibaha, Asumpta Mshama ampa pole Tundu Lissu

Mkuu wa wilaya ya kibaha asumpta mshama amesema ameumizwa na kitendo cha kupigwa risasi mh Tundu Lisu na kumpa pole nakusema pia huu si uttamaduni wetu watanzania tuendelee kumuombea mh Tundu lisu,:
Source clouds fm

Nimjuavyo ni mtu wa kitengo huyu dada Asumpta.
 
Komea hapo hapo! Sina kadi ya chama chochote! nachosimamia ni misingi ya haki na siasa za kati na si za uonevu! mambo ya pamba sijui mbowe tafuta pa ya kuyapeleka! BTW hujui Nina tafuta nn JF! ufyate basi mtoto wa kitanga! boya we!
Duuu msamehe broo
 
Yaani nyie wepesi kama pamba...ndio maana ilikuwa rahisi zaidi kwa mbowe kubadili gia angani kuliko alivyozani
Hujui kuwa jina linaanza na herufi kubwa? kama kitu basic kama hicho hukijui utajua nini zaidi ya ujinga?
 
Mkuu wa wilaya ya kibaha asumpta mshama amesema ameumizwa na kitendo cha kupigwa risasi mh Tundu Lisu na kumpa pole nakusema pia huu si uttamaduni wetu watanzania tuendelee kumuombea mh Tundu lisu,:
Source clouds fm
Wakubadilishie title ni DC na sio RC
 
Swali ni je chama chenu kinaunga mkono hizo kauli zenu za kibinadamu ?
Watakua sasa wametumwa wajisafishe siku 10s Mbele ndio waja kutoa pole walikua wapi siku za mwanzo za machungu? CCM ya Awamu ya 5 wanafiki sana bora wakae kimya
 
Muombe mod akusaidie kubadilisha title, RC sio mkuu wa wilaya
 
Mkuu wa wilaya ya kibaha asumpta mshama amesema ameumizwa na kitendo cha kupigwa risasi mh Tundu Lisu na kumpa pole nakusema pia huu si uttamaduni wetu watanzania tuendelee kumuombea mh Tundu lisu,:
Source clouds fm
Hivi kilefu cha R C, ni mkuu wa wilaya!!!!?
 
Hongera
Wengi wanatamani wakamuone ila wakienda hawatakua na kazi
 
Serikali ya mh raisi inajali watu wake siasa pembeni, ongera Jpm kuchagua watumishi bora, ongera mkuu wa wilaya.
JPM HUYUHUYU ALIYEWAZUIA MAKADA WA CHAMA KWENDA KUMTEMBELEA MTU MAHABUSU AU KUNA MWINGINE
 
Back
Top Bottom