Mulama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,047
- 1,823
Yaani hiki ulichomwandikia hapa nachelea hatoweza kujua maana yake bwana gambo!Lema mbunge wa Arusha.
Mbowe mbunge wa?
Kinana mbunge wa?
Kwa jibu alilotoa huyu jamaa anaonesha kua kwake kila kitu ni siasa, kinana na mbowe siyo wawakilishi wa wananchi wa pale unawapa muda wa kuzungumza ukiwa umelenga eti kwa niaba ya upinzani na ccm.
Siasa kila mahali hii ni aibu, mpaka kwenye misiba watu wanatumia kama ni jukwaa la kujitangaza kisiasa.
Ujinga na unafiki unaangamiza taifa.