Basi kama nduo hivyo nadhan wagonjwa wote wanao fia hospitali ma dr wangekuwa wana enda msibani na wanapewa nafasi,kinacho tizamwa hapa msiba ni wawapi na sio wamefia wapi, shit!! hebu acheni ujinga nyie watu hata hilli mnahitaji akili ya juu zaid ije iwaambie kuwa kuna kosa la kiprotocal limefanyika.!!!?? Mbona watanzania mmekuwa wajinga na hamuwezi kupambanua mambo kias hiki?? Mbowe ana nanafasi yake na lema pamoja na mayor wananafasi zao ki protocal na hakuna wakuzibba nafasi ya mwingine hapo zaid ya kulazimisha ujinga na upumbavu ndio vitamalaki na kwa namna nyngine naweza sema lema alikuwa muhimu zaid ya mbowe kwenye msiba huo ni ujinga na upumbavu tu ndio utalificha hilo