RC Gambo amjibu Lema kuhusu ubaguzi

RC Gambo amjibu Lema kuhusu ubaguzi

Ndio maana huwa nakwambia wewe unaonekana ni fuska wa kutupwa ptuuuu!!!!!! Maana usipitwe na wata kutwanga sana kisamvu wewe akili zizidi potelea kusiko julikana maana kwa sasa unazo tumia sio zako

Ha ha ha haaaaa JF ni forum nikukumbushe, andika lolote unalotaka kunifikiria. Kama hutachoka basi jipige vibao vya usoni.

CIAO
 
Hata msiba watu wanataka kufanya siasa? Huu ni upuuzi ukiopitiliza, Arusha ni jimbo lake ana ruksa ya kufanya mkutano muda wowote aitishe tu na siyo msibani.
 
Tutake tusitake lakini Rc Gambo kakosea nahii haihitaji ushabiki wa kivyama wala unafiki, kazi kubwa ya mbunge ni kuwakilisha wananchi wa sehemu husika(mabaya/mazuri) kwa kimombo"Representative ". Kabla ya hao aliowataja kuwapa nafasi alistahili kumpatia mwakilishi husika wa wananchi wa eneo hilo nafasi ya kutoa pole/salamu zake za rambirambi kama baba yao wa kieneo.
Wanao mlaumu Lema kulalamika ni ambao hawajui au wanapotosha kwa makusudi/chuki protocol za uwakilishi husika kieneo katika masuala yanayotokea au yanayohusu jamii husika iwe mabaya/mazuri.
Mbowe kaongea, ila mfiwa mkuu, mwalimu mkuu hajapewa nafasi na kakaa kimya, lema povu la ommo linamtoka hadi masikioni na puani!
 
Huyu mgambo anajua anachofanya ni upuuzi mkubwa kufanya mambo ys kijinga rema ana maana kisiasa kuliko mbowe pengine na rais kwa wana Arusha.
 
Nadhani bado Mbunge wa eneo husika na Mayor wa eneo husika alipaswa kupewa fursa
Ili iwaje? Kwani sherehe hizo? Issue ni kuokoa muda kutoa heshima za mwisho zinachukua muda mrefu sana isitoshe miili 21 ilikuwa inasafirishwa mkoani, aitishe mkutano wa kisiasa kama anataka kuongea
 
Kila binadamu hupenda kusifiwa na kuheshimiwa....Kwa kweli Lema alitamani sana leo aonekane mbele ya kadamnasi ili amwoneshe Gambo ni nani anakubalika kati yao...Gambo nae akaikata juu kwa juu...but ilikuwa ni haki ya lema kutupia walau neno moja leo
Atafute platform nyingine ya kisiasa sio pale!
 
Ni Mbunge wa eneo husika kwa wananchi walomchagua sasa inaingia akilini asipewe nafasi ya kutoa neno la pore kwa maafa yalowakuta wananchi wa eneo lake auhiitaji akili ya ziada kugundua ni nini aliwaza kwenye kichwa chake GAMBO
Ni mjinga na mpumbavu wa akili pekee ndo atakubaliana na maneno ya utetezi wa gambo
Ule ni msiba si SHEREHE hakuitajiki itikadi za kichama sasa sehemu ya kuaga maiti kuna mijitu imetinga minguo ya KIJANI na Njano kama si kujitoa akili kumbe nini
mbona diwani na wenyevit wa maeneo husika hawajalilia vipaza sauti kuwasabahi wananchi wao ambao kimsingi wako karibu nao zaidi??
 
Mbona mwalimu mkuu wa shule husika hajalilia kipaza sauti?
 
Siasa Chafu... Sisi sote ni ndugu, Vip kama Mbowe alichukuwa nafasi ya wabunge wote na kwa niaba ya upinzani, vipi Meya?

Wapi iliandikwa Meya lazima aongee Msibani ?

Afisa Elimu Mkoa nae ingebidi aongee kwa kuwa waliokuwa ni Wanafunzi!
 
Kati ya wanaochefua moyo wangu kila nionapo au kusikia wakitajwa ni Gambo.Mungu anisamehe Bure kwa kweli.
 
Majinga mengi mpo gizani sijui mnatumia kitu gani kufikir , nahisi pengine mnatumia tundu chemba kufikiri, kumbuka lema ndiye mbunge anaye wakilisha wananchi wa arusha na hilo ndilo jimbo lake na hao ndio wananchi walio mchagua, hata kama nimashabiki wa upumbavu kuna mengine bora mfunge tu hayo mabakuli yenu.

Jimboni kwake kuna misiba mingi tu mbona itatokea na akitaka ataongea mpaka achoke. Leo waongeaji walikuwa wengi ndio maana boss mbowe wake kapewa nafasi. Si lazima yeye.
 
Tuanze hapa kwanza Mbunge wa eneo lililokea ajari ni nani ?[/QUOTE
Wee sura fenesi Daudi Mchambuzi, usipende kukurupuka kama kuku kashtushwa, comment hii
juu ndo msingi wa mimi kubishana na huyu jamaa, ilipotokea ajali!

Alafu sijui ndani ya kichwa umejaza funza?? Unakubali kuwa watoto wanayoka pande tofauti za nchi ila haukubali mwakilishi wa wabunge wote wa upinzani nchini kutoa salamu na pia kumwakilisha lema, wewe ulitaka umuone tu jamaa yako kashika maiki akiongea pumba zake!
Kwa hiyo hao watu 35 waliokufa ni wakazi wa karatu???


Nimeshasema nyie uvccm tutawarudisha jando tukawafunde Protocol kwa viboko vya mgongo na upupu.
 
Back
Top Bottom