RC Gambo amjibu Lema kuhusu ubaguzi

RC Gambo amjibu Lema kuhusu ubaguzi

Katika page yake ya instagram RC Gambo amewashukuru wanaarusha kwa kujitokeza kwa wingi kuwaaga watoto wetu na pia amekanusha uzushi unaoenezwa na Lema
2cf8697ebe914fb698c948357c337fea.jpg
Inaweza kuwa ni kosa la Kiprotocal au alidhamiria, baada ya kuona mambo yakuwa sivyo ameamua kuyaweka sawa. Kama wakati anatoa hizo nafasi alitaja kuwa Mhe. Mbowe atatoa salaam kwa niaba ya Vyama vya Upinzani na Mhe. Kinana atatoa kwa niaba ya Chama Tawala, haina shida, basi Mhe. Lema atakuwa amechemaka kutoa malalamiko, lakini kama hakusema chochote bali aliwakaribisha kimya kimya, kuna walakini mahali fulani.
 
Mwenye mji no meya. Hugo gambo hajui chochote kazi ya kuteuliwa no kama mtumwa tu.
 
Inaweza kuwa ni kosa la Kiprotocal au alidhamiria, baada ya kuona mambo yakuwa sivyo ameamua kuyaweka sawa. Kama wakati anatoa hizo nafasi alitaja kuwa Mhe. Mbowe atatoa salaam kwa niaba ya Vyama vya Upinzani na Mhe. Kinana atatoa kwa niaba ya Chama Tawala, haina shida, basi Mhe. Lema atakuwa amechemaka kutoa malalamiko, lakini kama hakusema chochote bali aliwakaribisha kimya kimya, kuna walakini mahali fulani.
Great thinker,
Nimekukubali aisee
 
Ule ni msiba wa kitaifa,ndo maana rais aliwakilishwa na makamu wake,na mwenyeji ni mkuu wa mkoa,period!
 
Anavyosema hakuwapa hata Wabunge wa CCM kwani Arusha mjini ina Wabunge wangapi?
 
Kwanini aliondoa Ambulance za Lema uwanjani?

Kwanini alipo shauriwa na Makamu wa Rais ampe Mbunge Mwenyeji nafasi ya kutoa pole alikaidi?
 
Safi sana. Gambo anabusara na ajili nyingi. Kuwapa wanasiasa wengi maiki kungeleta mihemko ya siasa pale uwanjani na kufisha na kudhoofisha na kudhoofisha lengo la kutaniko pale

Wasitake kutumia misiba kuleta mambo yaoya siasa. Lema huna Hata aibu ?
 
Majinga mengi mpo gizani sijui mnatumia kitu gani kufikir , nahisi pengine mnatumia tundu chemba kufikiri, kumbuka lema ndiye mbunge anaye wakilisha wananchi wa arusha na hilo ndilo jimbo lake na hao ndio wananchi walio mchagua, hata kama nimashabiki wa upumbavu kuna mengine bora mfunge tu hayo mabakuli yenu
Povu sasa magwanda duh!!!
 
Yoote mbwe mbwe ila matokeo ya mafanikio ya mgandamizo huu kwa upinzani yatapimwa October 2010. Wangeruhusu mikutano huku katikati kama midterm evaluation ya kupima kama katazo la mikutano limedhoofisha au kuimarisa upinzani. Kusubiri 2020 kunaweza kuleta mshtuko na suprise kwa upande wa watawala kwani ukimya huu wa watanzania utatoa sauti kubwa ya NOOO au NDIYOOO kwa njia ya kura. Kinachofanywa na uongozi wa chama tawala ni kujaribu kupanda mahindi gizani na kutakapopambazuka kutafuta mbegu iliyota utajishangaza mwenyewe.
 
Lema ni mbunge wa Arusha mjin ule msiba unamhusu mno kuliko wabunge wote hata kuliko mkuu wa mkoa cause yeye ni mkoa mzima. Meya wa jiji ndie anaeongoza Mipango na mambo yote ya jiji anahuska sana kuliko kitu chochote. Ukija kupinga hli jiulize upo vzr kweli kichwani au umelogwa
 
Tunachoshukuru ni kwamba ujumbe wetu wa kukerwa na ushamba wake umemfikia. Na, yule waziri Mpango aliyepewa nafasi siyo mbunge wa CCM? Haikuwa haki kumhesabu Lema miongoni mwa wabunge wa kawaida. Yeye ni mbunge wa eneo husika na ndiye aliyefiwa. Hapaswi kuingizwa kwenye mgao wa wabunge kuongea. Yeye ni mwenye nyumba/jimbo. Gambo tatizo ni kujua kusoma na kuandika tu.
 
Ilikuwa lazima viongozi wa vyama vya siasa kuongea kwa niaba ya vyama vyao kutoa salamu za pole msibani lakini hakukuwa na umuhimu mbunge wa eneo ambalo ajali imetokea na wananchi wake wamepata tatizo kusema lolote!! Mwisho wa siku Lema ndo anabaki nao hapo hao walioongea wataenda Hai au Dar.Tanzania buana
 
nkuwi: Eti Gambo anamweka Lema kwenye kundi moja la wabunge wa CCM! Ina maana wabunge wote ni wa jimbo la Arusha? Mbunge mwenye jimbo lake eti unamweka kundi moja na wabunge wengineo!
 
Back
Top Bottom