Mkonongo
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 313
- 189
Angeongea Muwakilishi wao waliomchagua kuwasemea katika furaha na huzuni. Mara nyingine tutumie akili ku reason.Uonevu??? Wazazi wa watoto walifariki walipewa nafasi? Role zao zinasaidia nn kwenye kumfanya Mzazi apunguze machungu?
Au wangeongea watoto,walimu na dereva wangeamka? Mbona hatuna uwezo wa kutenganisha siasa na majonzi?