Majibu mepesi kwa mambo magumuKatika page yake ya instagram RC Gambo amewashukuru wanaarusha kwa kujitokeza kwa wingi kuwaaga watoto wetu na pia amekanusha uzushi unaoenezwa na Lema![]()
msiba lema anataka geuza siasa.Katika page yake ya instagram RC Gambo amewashukuru wanaarusha kwa kujitokeza kwa wingi kuwaaga watoto wetu na pia amekanusha uzushi unaoenezwa na Lema![]()
Mh , kamanda Godbless Jonathan Lema huwa namkubali sana hanaga woga hata chembe..ila ananiangusha sana povu kumtoka kwenye mambo yakawaida kama haya..
Kwa wenye akili ndogo kama wewe lazima useme hivyo. Ila usilinganishe akili ya gambo na ya lema. sawasawa na kulinganisha Marekani na BurundiLema ni mzee wa misifa
ccm ndio iligeuza siasa na sio lema mkuu.msiba lema anataka geuza siasa.
sasa matusi ya nini kaka mkubwa . usitake nifikiri kama wewe unavofikiri kwani mbowe hakusimamishwa weka matusi pembeni . Hata mimi nayaweza mkuuWe nazani unatumia nyuma kufikiria. Pale masibani ilijuwa fulu siasa. Mpuuzi wewe Kinana aliwakilisha wananchi gani? Acha ujinga
Ndugu yangu haya siyo mambo ya kawaida kama kweli unafahamu taifa hili limetoka wapi. Tukae tukijua kuwa kama viongozi wetu tunaowategemea ndio wanaoasisi mambo ya kiupuuzi kama haya kwenye misiba basi Tanzania aliyokusudia muasisi wa taifa hili haipo tena. Kama serikali imepanga haya maana yake ni kuwa siyo kwamba imeguswa na msiba bali waliona fursa ya kisiasa kuwaonyesha wana Arusha kuwa hawana viongozi!Mh , kamanda Godbless Jonathan Lema huwa namkubali sana hanaga woga hata chembe..ila ananiangusha sana povu kumtoka kwenye mambo yakawaida kama haya..
Kinana.Nani asiyependa sifa, mtaje!!
Wewe ndio mjingakumbuka lema ndiye mbunge anaye wakilisha wananchi wa arusha na hilo ndilo jimbo lake na hao ndio wananchi walio mchagua, hata kama nimashabiki wa upumbavu kuna mengine bora mfunge tu hayo mabakuli yenu.