RC Gambo amjibu Lema kuhusu ubaguzi

RC Gambo amjibu Lema kuhusu ubaguzi

Sasa mlitaka LEMA, aache fulsa ?. Kwake msiba nisehemu tosha ya kufanya siasa na sivingine, siasa za matukio nahilo ni tukio zuri kisiasa, ukitaka kuamini hilo muangalie hata vazi lake ni la siasa si msiba.
 
Ndiyo sababu mnaendesha msiba kama mkutano wa hadhara. Waliofika pale hawakumfuata Gambo,Makamu wa Rais wala Jeshi,wakienda kuungana na Shule, wazazi na Mbunge wao kuomboleza na kuaga wanafunzi.

Potezea tu maana akili zenu zimeshikwa na chuki,visasi na Ubaguzi.

Rungu la Lema limewafikia kati kati ya kichwa.
Message ya Gambo SENT, SEALED, DELIVERED, READ and UNDERSTOOD.
Mwanaume mwenye mkoa keshasema na imekuwa hivyo, wa kulia lia wacha walie ila shughuli imeenda kama mkuu wa mkoa alovyotaka iende na imeenda kwa mafanikio.
Watoto wote na staff waliofikwa na mauti wapumzike mahala pema peponi, AMEN.
 
Katika page yake ya instagram RC Gambo amewashukuru wanaarusha kwa kujitokeza kwa wingi kuwaaga watoto wetu na pia amekanusha uzushi unaoenezwa na Lema
2cf8697ebe914fb698c948357c337fea.jpg
Kwani Mkuu wa Mkoa, wa Dar au Tanga aliongea? Nawala hakuna aliyetaka Mbunge wa Kimara aongee, hapa tunaongelea Mbunge na Meya wafiwa. Kwanini tunaakili zisizo na Uwezo wa kuchambua mambo?
 
Kwani Mkuu wa Mkoa, wa Dar au Tanga aliongea? Nawala hakuna aliyetaka Mbunge wa Kimara aongee, hapa tunaongelea Mbunge na Meya wafiwa. Kwanini tunaakili zisizo na Uwezo wa kuchambua mambo?

25kids are not from arusha, what do u say about that?
 
Mimi ningependa kuamini kuwa alikuwa katika kamati ya maafa ya hili janga kama kweli yeye ni mtu muhimu sana kwenye jamii hiyo. je alikuwa wapi kufanya hayo maandalizi? kwanini kitu ambacho hujashughulikia ujipatie kiki bure bure? aje akute watu wamejipanga kutekeleza shughuli yao na wewe usimame kusema mimi ndiyo mwenye watu bila jasho he he he itakuwa kazi sana wanamuogopa nini? Semeni tuu si mtalala
 
Majinga mengi mpo gizani sijui mnatumia kitu gani kufikir , nahisi pengine mnatumia tundu chemba kufikiri, kumbuka lema ndiye mbunge anaye wakilisha wananchi wa arusha na hilo ndilo jimbo lake na hao ndio wananchi walio mchagua, hata kama nimashabiki wa upumbavu kuna mengine bora mfunge tu hayo mabakuli yenu.
Ukichangia bila kebehi na matusi utapungukiwa nini? sasa kama umekasirika kisa huyo jamaa yenu hajapewa nafasi kisa ni mwakilishi vp kuhusu mwakilishi wa karatu eneo tukio lilipotokea je hana haki ya kuongea hisia za wanakaratu?? au vipi kuhusu diwani wa eneo shule ilipo nae hana haki ya kusemea watu wake walivyopokea msiba?? mwenyekiti wa serikali ya mtaa je? sasa kama kila mtu angetaka kuongea nadhani shughuli isingeisha!! Naamini mtu muungwana angejali machungu ya wafiwa kuliko kuleta malalamiko eti kwanini yeye hajaongea wakati watu wana huzuni ya kupoteza wapendwa wao ye kaona hilo si la maana sana la maana yeye ni kuongea mbele ya hadhara wakati alijitia kwenda kutoa pole jana yake nadhani kwa muungwana ile pole ilitosha kumbe ulikua UNAFIKI halafu akaonya eti siasa isiingizwe msibani kumbe yeye ndio mwenye mpango wa kuingiza siasa.
 
Ndio maana sifa iliyo kuu ndan ya chama ni kusoma na kuandika ndio maana wafuasi wake wengi ni vilazaa kimawazo na kimaono na yeyote anaye tetea yaliyo tokea leo na siku za nyuma huko arusha ni lazima hana elimu ya kitu chochote na nimjinga na mpumbavu kabissa

maana kama mtu haelewi uhusika wa mbunge katika matukio ya wananchi wake basi huyo ni mjinga sana na hana elimu kwa tukio la arusha mbowe hakuwa na umuhimu wala kinana zaid kuliko mbunge mwenye jimbo husika nawaona wapumbavu sana kusema eti nafasi ya lema imetekelezwa na mbowe huu ni ujuha na ujinga wa kiwango cha standard gauge na wapigia chapuo ujinga huo ukiwa tizama vizuri wengi wao ni wale wa KK.

Kwenye misiba hakuna protocal za kisiasa. Yeyote anaweza kuwakilisha kundi lolote kwenye msiba kutokana na muda uliopo. Watu wana majonzi halafu unaweka watu kibao kuongea ni kuwachosha tu na kuwahudhunisha zaidi. Tusifanye siasa kila mahali. Sidhani kama lema kwenye campaign aliwaeleza kuwa atakuwa anahudhuria misiba na kutoa mihotuba. Ukiona mtu anatafuta umaarufu kwa kuongea lazima hujiulize sana utimamu wake wa akili.

Hivi kweli kama una majonzi ya kweli nguvu ya kuongea unaitoa wapi? Ungenambia mchungaji au mtu wa dini ambaye ndiye mwenye umuhimu sqna amenyimwa nafasi ningekuelewa sana.

Tubadilike watanzania. Kuna political avenue na other avenue. Msibani sio kwenye siasa. Mwishowe watu kama hawa wataanza kuandaa majanga ili waongee.
 
Katika page yake ya instagram RC Gambo amewashukuru wanaarusha kwa kujitokeza kwa wingi kuwaaga watoto wetu na pia amekanusha uzushi unaoenezwa na Lema
2cf8697ebe914fb698c948357c337fea.jpg
Sioni kama kuna jibu hapo kwa muktadha wa hoja ya Lema!
 
Lema mbunge wa Arusha.

Mbowe mbunge wa?

Kinana mbunge wa?

Kwa jibu alilotoa huyu jamaa anaonesha kua kwake kila kitu ni siasa, kinana na mbowe siyo wawakilishi wa wananchi wa pale unawapa muda wa kuzungumza ukiwa umelenga eti kwa niaba ya upinzani na ccm.

Siasa kila mahali hii ni aibu, mpaka kwenye misiba watu wanatumia kama ni jukwaa la kujitangaza kisiasa.

Ujinga na unafiki unaangamiza taifa.
Ndiyo shida ya kuwa na viongozi ambao hawakuandaliwa, mtu anatoka kijiweni anakabidhiwa madaraka makubwa kama haya.
 
Kwenye misiba hakuna protocal za kisiasa. Yeyote anaweza kuwakilisha kundi lolote kwenye msiba kutokana na muda uliopo. Watu wana majonzi halafu unaweka watu kibao kuongea ni kuwachosha tu na kuwahudhunisha zaidi. Tusifanye siasa kila mahali. Sidhani kama lema kwenye campaign aliwaeleza kuwa atakuwa anahudhuria misiba na kutoa mihotuba. Ukiona mtu anatafuta umaarufu kwa kuongea lazima hujiulize sana utimamu wake wa akili.

Hivi kweli kama una majonzi ya kweli nguvu ya kuongea unaitoa wapi? Ungenambia mchungaji au mtu wa dini ambaye ndiye mwenye umuhimu sqna amenyimwa nafasi ningekuelewa sana.

Tubadilike watanzania. Kuna political avenue na other avenue. Msibani sio kwenye siasa. Mwishowe watu kama hawa wataanza kuandaa majanga ili waongee.
Kama uelewa wako ni wa kiwango kinachovuka sifa ya KK pekee, huwezi kulitofautisha tukio la msiba (kuaga maiti) la jana na siasa za nchi!
 
Hivi ingekuwa ni Jimbo la mbunge wa ccm hasingepewa nafasi?..nawaza tu..Gambo hiz kazi z siasa kuwa nazo makini..zina Valid period..nina uhakika wa 99.9% next president atapatikana miongoni mwa wabunge..sasa Gambo huwez jua bro.
 
dah!! Mambo mengine kwanini tusiyaache kwanza hata baada ya wiki kadhaa ndio tuyazungumze hata wazazi wasahau watoto wao R. I. P watoto
Nchi hii badhii ya watu ni siasa kila kitu hawana mambo mengine
 
Kwa siku mbili media zilikuwa zinataja watu wawili tu (Makamu wa Rais na Katibu Mkuu CCM) kama itatajwa orodha ya wengine basi mawaziri wachache lakini sio Mbowe (Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani)
 
Back
Top Bottom