Amuonee wivu crazy!!!wivu tu
yaani wewe ndio mtetezi wa lile majinuni Chalamilamwanaume mzima unakua mmbea kwa hiyo wewe hilo ndo umeona la kuongea mpuuzi wewe
Jitu la hovyo kabisayaani wewe ndio mtetezi wa lile majinuni Chalamila
Hahaha ana kipajiHuyu jamaa akiwa na stand up comedy sehemu yoyote nahudhuria.
UWE UNAELEWADah.... kwa hiyo kuongoza Mbeya hakuhitaji Busara?
Na 'Wasukuma' watamkoma hakyanani.
AiseeeeNa 'Wasukuma' watamkoma hakyanani.
Mods kwanini mmebadilisha heading yangu? Headinga yangu ilikuwa inasomeka hivi "KUMBE WALIKUWA WANAJUA WANAONGOZA BILA HEKIMA/BUSARA"
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amewaomba wakuu wa idara na watendaji wa Serikali mkoani humo kumuazima busara akidai za kwake pekee hazitotosha.
Chalamila ametoa ombi hilo leo Jumatatu Mei 24, 2021 wakati akizungumza na watendaji, wafanyabiashara, wakuu wa idara, viongozi wa dini na wadau wa maendeleo mara baada ya makabidhiano ya ofisi kati yake na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Mwanza ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella.
Huku walioudhuria katika hafla hiyo fupi ya makabidhiano ya ofisi wakiangua vicheko, Chalamila amesema, “yaani mimi hivi unataka niwe kama mzee Meck Sadick (mkuu wa mkoa mstaafu), akiwa mzee Sadick pale na mimi unataka niwe na busara hivyo hivyo? Mjue kabisa nitakuwa najilazimisha kitu ambacho sipo nacho kabisa! Na hii kitu ni automatic tu.”
Think about it 🤣Dah.... kwa hiyo kuongoza Mbeya hakuhitaji Busara?
🤣🤣🤣 Mpaka kule kileruu kuna wachambia mawe ni kwereWahuni wa Mabatini watampopoa mawe asipojiangalia!!
Kule ni watukutu mkuu, kwahiyo na yeye lazima awe mtukutuDah.... kwa hiyo kuongoza Mbeya hakuhitaji Busara?
huyu analiwa tyming tu we subirHivi kwann huyu bado yupo ofisini???View attachment 1797219
Huyu hapa