PostGE2025 RC Chalamila: Kama Mtu Hamuoni Ndugu Yake Afike Polisi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo watu ambao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kutokana na vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi na kueleza kama kuna mtu hamuoni ndugu yake, afike polisi na kutoa maelezo ambapo atasaidiwa kumpata ndugu yake.

View attachment 3498630
Hawa mazafakas wameshindwaje kutangaza majina ya watu wanaowashikilia? Isitoshe, wanapata wapi authority ya kushilikilia watu indefinitely bila kuwafikisha mahakamani?
 
Hu
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo watu ambao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kutokana na vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi na kueleza kama kuna mtu hamuoni ndugu yake, afike polisi na kutoa maelezo ambapo atasaidiwa kumpata ndugu yake.

View attachment 3498630
HUyu chai jaba gen z wakikiamsha wamtembelee awamu ya pili inshaalah
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo watu ambao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kutokana na vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi na kueleza kama kuna mtu hamuoni ndugu yake, afike polisi na kutoa maelezo ambapo atasaidiwa kumpata ndugu yake.

View attachment 3498630
ujipeleke kwa wauwaji?
 
Naona kabisa Chalamila akiingia kwenye ile list list ya most wanted criminals kutoka kwa Genz na Maria spaces.
 
Huyu naye ataingizwa kwenye history ya walioshiriki mauaji ya kimbali 2025, acha aendelee kupiga domo lake internet haisahau kitu
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo watu ambao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kutokana na vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi na kueleza kama kuna mtu hamuoni ndugu yake, afike polisi na kutoa maelezo ambapo atasaidiwa kumpata ndugu yake.

View attachment 3498630
Waliotekwa waruhusiwe kuwasiliana na ndugu zao
 
Ila chalamila ipo siku na huo upara wako utasema hallelujah tu
 
Bado mkuu wa mkoa ana display arrogance yake. Kabla mtu hajakamatwa ni haki yake kupigia ndugu na jamaa kua yupo kituoni anashikiliwa na Polisi.

Sasa Ndugu watazunguka vituo vingapi vya polisi, na anajua kabisa Kituo A hakisomani na Kituo B kutikana na mifumo yao ya kizamani
 
Back
Top Bottom