Kwanza nampongeza sana RC Chalamila kwa kuaminiwa na Mhe. Rais kukabidhiwa JIJI la DSM.
Hakika Dar ndio Tanzania.
Sina shaka na RC Chalamila kwa aina ya uongozi wake ataweza na atafanikiwa endapo tu atazingatia mambo yafuatayo;
1.Asikwepe lawama ilimradi tu anacho
kisimamia ni sahihi.
Hapa nasisitiza asijaribu kuacha kutimiza majukumu yake eti kwa kuwepa kulaumiwa....Hilo ni kosa kubwa.
2. Asisikilize sana majungu, wapiga majungu watampotoeha, ajiongeze
3. Wakuu wake wa Wilaya wanapaswa wachape kazi, waache kukaa ofisini, ahakikishe wanafuata nyayo zake.
4. Asiwe na muhali kuchukua hatua sahihi kwa mtu au taasisi yoyote inayo kiuka taratibu na Sheria.
Jiji la DSM linahitaji kufanyiwa mabadiliko makubwa ili liendane sambamba na dhana ya kuwa Jiji.
5. Lazima awe mbunifu, wananchi wanahitaji kuona ubunifu.
6. Awe mkali kwenye mambo ya msingi.
Ukali ni muhimu, maana wakati mwengine bila mjeledi wabongo hawaendi.
Tunamtakia kila la heri, sisi wananchi wapenda maendeleo tutamsaidia kwa mawazo.