Ni kawaida yenu kujifanya hamnazo pale mambo yapowageukia, unajifanya umeshapoteza kumbukumbu mara hii wakati ulishupaa sana wewe pale clip ya Lwakatale ilipokuwa imerushwa youtube. Najitolea kukukumbusha, Ludo ni jamaa ambaye alimrecord Lwakatare na kuipeleka Clip ya upangaji wa njama kwa Mwigulu. Ludo ni mwana wa Mwigulu, Swahiba wa CCM na ni Msalitu wa Chadema.
Siku Absolom Kibanda anatekwa, Ludo alituaminisha kuwa naye siku hiyo hiyo alitekwa, na alitoa taarifa Polisi na kimsingi anadai alipatiwa RB number. Ni dhahiri swaiba huyu wa CCM alidanganya haya kuusadikisha umma kuwa hausiki na mateso ya Kibanda.
Kwa taarifa hizo za RFA, dubious deal ya Ludo, Mwigulu, CCM na serikali yake ya kutaka kuilink ishu ya Kibanda/Mateso ya watu mbalimbali nchini na CHADEMA IMAFAIL kwani hii ishu imebackfire maana Ludo ni Swaiba wa CCM na wala sio CHADEMA kwenye haya madeal yote anayoyafanya.
To cut a long story short, Ludo ndo aliyerecord video tar 28/12/2012, akampalekea Mwigulu as phase of the project. Kisha wakapanga (Ludo na Mwigulu) wafanye tukio la utesaji ambalo litailink hiyo Video na hilo tukio ili baada ya hapo walink hiyo video clip na huo utekaji ili kuuaminisha umma wa watanzania kuwa CHADEMA ndiyo inayoratibu huu utekaji nchini, lengo likiwa ni kukochafua chama.
Kwa taarifa hiyo, utaona ni kwanini chadema kilijitoa katika kumtete Ludo ingawa wengi wanaamini kuwa Ludo ni Chadema damu. Ludo ni msaliti na haya ndiyo malipo ya usaliti.