anayehangaika ni chadema, hadi sasa wametoa matamko 6 tofauti tofauti..kama hawahusiki kwann wasitulie?
Mkuu si uko off?! Muachie Thatha zamu yake...
anayehangaika ni chadema, hadi sasa wametoa matamko 6 tofauti tofauti..kama hawahusiki kwann wasitulie?
Gazeti gani? Kama ni TAnzania Daima niendelee na shughuli zangu, MABERE type anajifanya kuja na simu za watu waliomtesa Kibanda kumbe simu zenyewe kachongesha kwenye vibanda vyake vya mawakala wa makampuni ya simu.
huyo ludovick si ni msomi
wa chuo kikuu halafu ndio anachemsha namna hiyo,dah,kweli elimu
imeshuka.
Kuna mwingine profesa juzi alikua anachemsha bungeni kama mtoto wa
darasa la tano.kweli kawambwa ajiuzuru tu,hii ni aibu.
Gazeti gani? Kama ni TAnzania Daima niendelee na shughuli zangu, MABERE type anajifanya kuja na simu za watu waliomtesa Kibanda kumbe simu zenyewe kachongesha kwenye vibanda vyake vya mawakala wa makampuni ya simu.
Jinsi alivyoshindwa kucheza hii picha,kuna siku tutasikia Ludovick kajinyonga mahabusu.
wewe unayaamini maneno ya nape.?Chadema iache kuweweseka, juzi nape amesema wanajitahidi kupotosha ili ksei ifutwe
Utaenderea kuwa mjinga sku zote na hautajitambua kwa akili zako ukiambiwa kikwete ni mungu utakubari kwa shangwe bila ajizi,jitambue acha ushabiki wa ccm kwani hicho chama ni chako na ujinga,maradhi na umaskini yote yako.
Chadema iache kuweweseka, juzi nape amesema wanajitahidi kupotosha ili ksei ifutwe
wewe unayaamini maneno ya nape.?
Akili zako umemkabidhi Nape ambaye naye zake kakabidhi kwa magamba. Sijui hapo umebakiwa na nini ndugu; haishangazi unavyochemka humu jamvini. Ha ha ha!
Mkitaja hao watuhumiwa wa ugaidi nakumbuka zile chafya za lwakatare wakati anampa ludovick maelekezo halafu anajifutia makamasi
Usalama wa taifa ni weupe kama karatasi Dr. W. Slaa.Kwamba suala la kutekwa kwa Ludovick lilikuwa ni moja kati ya maigizo ya kusisimu ni jambo lililofahamika na kila mtu....ni mjinga tu ndie ambae angeamini ya kwamba alitekwa!! Sasa kama alishindwa hata kuigiza upatikanaji wa RB halali(toka polisi), basi kumbe wala si muigizaji mzuri kama ambavyo nilimdhania.....!!
Utaenderea kuwa mjinga sku zote na hautajitambua kwa akili zako ukiambiwa kikwete ni mungu utakubari kwa shangwe bila ajizi,jitambue acha ushabiki wa ccm kwani hicho chama ni chako na ujinga,maradhi na umaskini yote yako.
Mkuu kama zile namba alizotaja Marando zingekuwa fake waliotajwa wangeshajitokeza kwenye media na kukanushaGazeti gani? Kama ni TAnzania Daima niendelee na shughuli zangu, MABERE type anajifanya kuja na simu za watu waliomtesa Kibanda kumbe simu zenyewe kachongesha kwenye vibanda vyake vya mawakala wa makampuni ya simu.
CHADEMA tuko makini kushinda CCM na TISS, Dr.W.SlaaSo what?
Usalama wa taifa ni weupe kama karatasi Dr. W. Slaa.
unaona aibu kwa vile profesa mwenyewe ni cdm,ulifikiri hatukuona alivyokua anajigonga hadi kina mbowe wanamfundisha,''sema natoa shilingi''.Hapo kwa Profesa; Kawambwa anahusikaje? Badala ya kujadili tatizo halisi unaleta porojo.
CHADEMA tuko makini kushinda CCM na TISS, Dr.W.Slaa