RB ya LUDOVIC ni fake

RB ya LUDOVIC ni fake

aisee baada ya ripoti ya MARANDO gazeti la kesho yake sikulipata kabisa...
mkuu walinunua yote ili wafiche ukweli, hivi kama usalama wa taifa hauusiki kwanini waangake namna hii kuuficha ukweli
 
Nimeanza kuamini kuna kitu kati ya Mjengwa na Ludovic maana move hii kwa maelezo ya Mjengwa aliyoyatoa hapa Jf yanaonyesha yeye alikuwa anajua nini kinachoendelea hata uhuni uliofanyika basi atakuwa alijua
 
NazDaz,
Swali ninalojiuliza ni why? Kwa nini mtu afake kutekwa na kunyang'anywa nguo na kukimbilia hotelini kwa Mjengwa badala ya kwenda nyumbani? What was behind all this?
Huenda kuna mambo umeyaruka mkuu. Alipotekwa watekaji walimnyang'anya nguo ila wakamwachia simu ambayo aliitumia kuwasiliana na Mjengwa siku hiyo na kesho yake alikuwa anaendelea kuitumia kabla ya kuja kuizima siku ya tatu.
 
Ukweli ni kwamba ukisoma maelezo ya liyotolewa polisi.Yanakufanya utumie akili ya kuambiwa na uchanganye na yako.Sasa kama hili la kutekwa halafu unaachiwa cm lina maana gani?.Yaani watekaji wamekuteka tena wanajua utekaji ni kosa la jinai badala ya kujificha zaidi ili wasikamatwe kirahisi wao wanakuachia simu ili uwasiliane na jamaa zako ili waweze kukamatwa kirahisi.
 
Huenda kuna mambo umeyaruka mkuu. Alipotekwa watekaji walimnyang'anya nguo ila wakamwachia simu ambayo aliitumia kuwasiliana na Mjengwa siku hiyo na kesho yake alikuwa anaendelea kuitumia kabla ya kuja kuizima siku ya tatu.
huyo ludovick si ni msomi wa chuo kikuu halafu ndio anachemsha namna hiyo,dah,kweli elimu imeshuka.

Kuna mwingine profesa juzi alikua anachemsha bungeni kama mtoto wa darasa la tano.kweli kawambwa ajiuzuru tu,hii ni aibu.
 
Jinsi alivyoshindwa kucheza hii picha,kuna siku tutasikia Ludovick kajinyonga mahabusu.
 
Ludo, shonza, mwampamba +masalia n.k baada ya shughuli zote hizi wanapewaga au wanapataga nini cha maana au ni kwamba mtu amekunywa yale maji ya kijani mpaka damu ikawa ya Jembe na Nyundo? Sielewi hapa.
 
mkuu walinunua yote ili wafiche ukweli, hivi kama usalama wa taifa hauusiki kwanini waangake namna hii kuuficha ukweli

anayehangaika ni chadema, hadi sasa wametoa matamko 6 tofauti tofauti..kama hawahusiki kwann wasitulie?
 
Hivi kwanini Ludovick hakukaa kimya tu baada ya kuhusika na njama hii na kuendelea na shughuli zake tena bila ya kujionyesha kwa mtu yoyoote ingekuwaje ?

Mbona ilikuwa ni rahisi tu !
 
Ile haikuwa RB, bali ilikuwa ki RB ya ku qualify movie feki.
Si muda mrefu usalama wa ccm utajichanganya, aliyelikisha hii noma asipong'olewa kucha atakuwa na bahati.

ha ha ha nasikia anatembea amechoma ganzi kabisa ili kupunguza maumivu ya kung'olewa meno na kucha!
 
Chadema iache kuweweseka, juzi nape amesema wanajitahidi kupotosha ili ksei ifutwe
 
huyo ludovick si ni msomi wa chuo kikuu halafu ndio anachemsha namna hiyo,dah,kweli elimu imeshuka.

Kuna mwingine profesa juzi alikua anachemsha bungeni kama mtoto wa darasa la tano.kweli kawambwa ajiuzuru tu,hii ni aibu.

Hapo kwa Profesa; Kawambwa anahusikaje? Badala ya kujadili tatizo halisi unaleta porojo.
 
Mkitaja hao watuhumiwa wa ugaidi nakumbuka zile chafya za lwakatare wakati anampa ludovick maelekezo halafu anajifutia makamasi
 
Back
Top Bottom