kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,746
CDM wamehonqga ili iwe hivyo nini?
Wamemuhonga KOVA? Tafakari!!!!!
CDM wamehonqga ili iwe hivyo nini?
matusi hayajengi wala hayana msaada toa hoja mkuu watu waweze kunufaika na michango yako wala siyo kutukana tu.
zile namba hazijaondoa ukweli wa video ya lwakatare na maneno aliyokuwa akiongea na mipango yote ya kigaidi...mngetoa namba za watu waliokuwa wanaongea yale aliyokuwa anaongea lwakatare hapo mngekuwa wajanja..hata hivyo mwigulu ameshawajibu bungeni, ona mlivofarakana
Mwigulu ndio msumari wa moto kwenu..ameshaweka wazi kuwa tumuombee uzima kwa mungu akatoe ushahidi wake mahakamani..akawaumbue huko.
Nimesikia habari magazetini kuwa mtuhumiwa wa ugaidi ludovic ambae kuna ushahidi kuwa anmawasiliana ya karibu sana na vyombo vya uwt na mwigulu na kuna malipo yaliyofanyikaàmbayo biashara yake bila shaka ni kwa kushiriki kwake kumrekodi kaka yake lwakatare hakutekwa kama alivyo dai na kukata rb,polisi wanashangaa namnaàlivyotekwa na kusema ni yakutunga...
source: rfa
Mbona unajikita kwenye matukio yaliyopita wakati hupo katikati ya new and fascinating agenda. Wewe nni CCM nini?? Maana wanachama wa CCM ndo mara nyingi wanakuwaga vituko humu ndani, badala ya kudiscuss mada iliyo mbele yao wao wanadiscuss mambo ya wakati wa uhuru kama babu zao mzee wa Gombe na Mwandosya ambavyo walijikita katika kuelezea umahiri wa TISS ya enzi za Mwalimu badala ya kuielezea TISS ya enzi za Kikwete.
Ipo wapi ile furaha yenu mliyokuwa nayo baada ya ile Clip ya Lwakatare kurushwa youtube na baadaya Lwakatare kukamatwa?? Mbona hili linaelekea kuwasononesha wakati mlisema Ludo ni mwana CHADEMA??? Wahenga walisema njia ya muongo ni fupi. Naona mmeshaanza kukimbiana na kushangaana
CHADEMA MWENDO MDUNDO MPINZANI KAAMUA KUJIMALIZA MWENYEWE.........................SASA 2015 NJIA NYEUPEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama umeona tusi hapo hebu lihighlight ili niliondoe, ila chonde usihighlight neno fasaha la kiswahili linalofaa kutumika katika kelezea hali halisi.mkuu kumbe na wewe huwa unatukana du,umenitisha kweli ila usihofu mbichi na mbivu zitafahamika tu wala usiwe na haraka.
Mbona unajikita kwenye matukio yaliyopita wakati hupo katikati ya new and fascinating agenda. Wewe nni CCM nini?? Maana wanachama wa CCM ndo mara nyingi wanakuwaga vituko humu ndani, badala ya kudiscuss mada iliyo mbele yao wao wanadiscuss mambo ya wakati wa uhuru kama babu zao mzee wa Gombe na Mwandosya ambavyo walijikita katika kuelezea umahiri wa TISS ya enzi za Mwalimu badala ya kuielezea TISS ya enzi za Kikwete.
Ipo wapi ile furaha yenu mliyokuwa nayo baada ya ile Clip ya Lwakatare kurushwa youtube na baadaya Lwakatare kukamatwa?? Mbona hili linaelekea kuwasononesha wakati mlisema Ludo ni mwana CHADEMA??? Wahenga walisema njia ya muongo ni fupi. Naona mmeshaanza kukimbiana na kushangaana
CHADEMA MWENDO MDUNDO MPINZANI KAAMUA KUJIMALIZA MWENYEWE.........................SASA 2015 NJIA NYEUPEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!
Ile nyundo ya Mabere Nyaucho Marando ilikuwa funga kazi kaka. Ni sawa na Wajapani walivyokomaa enzi za vita ya pili Mmarekani akaona isiwe tabu; alishusha nyuklia mbili tu pale Hiroshima na Nagasaki na vita ikawa imekwisha. Lile kombora la Chadema ni balaa; hakuna mwenye akili timamu akathubutu kuendelea na vita (kesi). Sasa kila aina ya mpango unasukwa kesi iishe kiaina.
Gazeti mtanzania? Habari imekosa thamani ya kuwa habari haiwezekani gazeti la cdm likaandika kinyume na matakwa ya chama.
Mwigulu ndio msumari wa moto kwenu..ameshaweka wazi kuwa tumuombee uzima kwa mungu akatoe ushahidi wake mahakamani..akawaumbue huko.
Mbona unajikita kwenye matukio yaliyopita wakati hupo katikati ya new and fascinating agenda. Wewe nni CCM nini?? Maana wanachama wa CCM ndo mara nyingi wanakuwaga vituko humu ndani, badala ya kudiscuss mada iliyo mbele yao wao wanadiscuss mambo ya wakati wa uhuru kama babu zao mzee wa Gombe na Mwandosya ambavyo walijikita katika kuelezea umahiri wa TISS ya enzi za Mwalimu badala ya kuielezea TISS ya enzi za Kikwete.
Ipo wapi ile furaha yenu mliyokuwa nayo baada ya ile Clip ya Lwakatare kurushwa youtube na baadaya Lwakatare kukamatwa?? Mbona hili linaelekea kuwasononesha wakati mlisema Ludo ni mwana CHADEMA??? Wahenga walisema njia ya muongo ni fupi. Naona mmeshaanza kukimbiana na kushangaana
CHADEMA MWENDO MDUNDO MPINZANI KAAMUA KUJIMALIZA MWENYEWE.........................SASA 2015 NJIA NYEUPEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!
mkuu kumbe na wewe huwa unatukana du,umenitisha kweli ila usihofu mbichi na mbivu zitafahamika tu wala usiwe na haraka.
Elimu ya Ludo ni nani si nimeshaitoa hapo juu??? Mbona unayumbisha mjadala kijana??? Sina muda wa kuchezea, wewe umeingiaje kwenye huu mjadala kama humjui Ludo ni nani???Kama unataka kumfahamu zaidi wasiliana na Mwigulu au Kova watakuelewesha zaidi ya hapo.Una maana ni LUDO huyo huyo aliyemshawishi Lwakatare aeleze huo upuuzi wakati akirekodiwa?
Mtanzania na siyo Tanzania Daima walioandika hii habariGAzeti gani? Kama. Siyo Tanzania daima
Ndugu.Kanisani Hawatakiwi watu kama THATHA.ambao wanafurahia matendo ya kishetani na kuyatetea,yupo kama mafarisayo walimuuliza YESU maswali ya kibiblia kumbe wanatafuta jinsi ya kumuua.Fuatilia kama gazeti ni TAnzania Daima bora uende kanisani tu mkuu