RB ya LUDOVIC ni fake

RB ya LUDOVIC ni fake

Fuatilia kama gazeti ni TAnzania Daima bora uende kanisani tu mkuu

kaka mbona unahangaika na bomu la muda? Unautetea mfumo ambao umeshapoteza mvuto.mtu kama wewe pia upo kwa muda mfupi kutokana na mkataba wenu wa Lumumba ila Time will tel
 
Ni gazeti la mtanzania,inabidi ukalinunue,ukisubiri kuliangalia kwenye udondozi wa magazeti TBC hawatalisoma

asante mkuu sikusikia jina ya gazeti kwani mitambo leo ya rfa ilikuwa na matatizo..
 
Kwamba suala la kutekwa kwa Ludovick lilikuwa ni moja kati ya maigizo ya kusisimu ni jambo lililofahamika na kila mtu....ni mjinga tu ndie ambae angeamini ya kwamba alitekwa!! Sasa kama alishindwa hata kuigiza upatikanaji wa RB halali(toka polisi), basi kumbe wala si muigizaji mzuri kama ambavyo nilimdhania.....!!

NazDaz,
Swali ninalojiuliza ni why? Kwa nini mtu afake kutekwa na kunyang'anywa nguo na kukimbilia hotelini kwa Mjengwa badala ya kwenda nyumbani? What was behind all this?
 
Gazeti gani? Kama ni TAnzania Daima niendelee na shughuli zangu, MABERE type anajifanya kuja na simu za watu waliomtesa Kibanda kumbe simu zenyewe kachongesha kwenye vibanda vyake vya mawakala wa makampuni ya simu.

INAMAANA UAMINI KUWA TISS ASA IKO KWA AJILI YA KUWALINDA MAFISADI, UAMINI RAMADHAN INGHONDU NDO ALISHIRIKI KT MATESO YA DR ULIMBOKA, AU WAFANYA TU KUJIPENDEKEZA KWA MAFISAD ILI UWEMO KT MGAWo? WEWE UNA ATRIBUTES ZOTE ZA KINAFIKI
 
NazDaz,
Swali ninalojiuliza ni why? Kwa nini mtu afake kutekwa na kunyang'anywa nguo na kukimbilia hotelini kwa Mjengwa badala ya kwenda nyumbani? What was behind all this?

kwanza kipi kilianza kuripoti polisi au kwenda kwamjengwa..
 
Hii movie imepoteza mvuto kwani ni ya kusadikika sana kiasi cha kuwa na kila mwonekano wa hujuma za kisiasa!

Ile nyundo ya Mabere Nyaucho Marando ilikuwa funga kazi kaka. Ni sawa na Wajapani walivyokomaa enzi za vita ya pili Mmarekani akaona isiwe tabu; alishusha nyuklia mbili tu pale Hiroshima na Nagasaki na vita ikawa imekwisha. Lile kombora la Chadema ni balaa; hakuna mwenye akili timamu akathubutu kuendelea na vita (kesi). Sasa kila aina ya mpango unasukwa kesi iishe kiaina.
 
NazDaz,
Swali ninalojiuliza ni why? Kwa nini mtu afake kutekwa na kunyang'anywa nguo na kukimbilia hotelini kwa Mjengwa badala ya kwenda nyumbani? What was behind all this?

Naanza kuhisi police kumhoji mjengwa walilenga kuuficha ukweli juu ya kupigwa kwa kibanda.
 
Leo tena vitu vingine vitalipuliwa. Hiyo ya RB fake mbona cha 'mtoto'. They gonna be shocked? Hii filamu imeshadoda. Warudi studio. Watunge uongo mwingine.
 
Back
Top Bottom