Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,240
Kwani weww una mingapi mkuu?Uzee unaanzia miaka mingapi mkuu?
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Kwani weww una mingapi mkuu?Uzee unaanzia miaka mingapi mkuu?
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Ndio vitu vyetu hivyo mzee wangu.Aisee tuko pamoja mwenyekiti,vitu vya dizaini kama HIT EM UP.
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Naomba hiyo top 5Hakuna Kitu hapo Fanya utafiti Upya utakujagundua hata Kwenye Top 5 hayumo
Kwakweli[emoji91][emoji91][emoji91]Hapa tupo pamoja hii ngoma ni [emoji91]
Hiyo mmh ni yake kabisa huyo Willy Paul hawezi kujivunia, maana Melody yote ni ya 'sikupendi'. Sema Rayvanny angekomaa zaidi na nyimbo za slow kuliko makelele ya sijui Pochi NeneRayvanny anaimba huyo mwamba , hyo naogopa alipaswa amshirikishe rihana alaf ex boyfriend amshirikishe Arianagrand , kubabake hyo burst ya hapo ni hakunaga , af sjui kwa nn mhhy alimuuzia wily paul
Si ungekausha tu kilichokufanya ukomenti hapa nini na ma-old yako?Kiukweli mimi siwezi kuacha kusikiliza Slow Jams za 90's&2000's nikaja kusikiliza hizo kelele za huyo bwn mdogo.
Inshort bongo fleva sisikilizagi.
Ni mtizamo wangu.
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Nashangaa na udingi wake anakuja kukomenti kwenye uzi wa V-Vanny boy
Nashangaa na udingi wake anakuja kukomenti kwenye uzi wa V-Vanny boy
Namzidi kidogo umri Polepole mkuu.Kwani weww una mingapi mkuu?
Kamuanzishie uzi ama neneRama Dee kwangu kweny slow music ndo namkubali sana
Si ungekausha tu kilichokufanya ukomenti hapa nini na ma-old yako?
Sawa kigori nitafanya hivyo.Nashangaa na udingi wake anakuja kukomenti kwenye uzi wa V-Vanny boy
Huyo ndio fundi mwenyewe kazaliwa bongo kwa bahati mbaya ana kipaji kikubwa Sana to be honest sijaona bongo msanii mwenye kipaji kikubwa kama yeye tatizo lake sio fighterRama Dee kwangu kweny slow music ndo namkubali sana
Kubi weweUtamu wa punani yako umenifanya nika comment hapa kigori.
Sent from my SM-J700H using Tapatalk