Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,369
Okay Mrs cuntSawa kigori nitafanya hivyo.
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Okay Mrs cuntSawa kigori nitafanya hivyo.
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Nyimbo za kawaida tu hizo mbona kuna madogo wengi tu siku hiz wanaimba nyimbo kali zaidi ya hiz sema ndo hivy wanakosa pesa ya promotionKwa sasa ni moja ya wasanii wanaonikosha sana kwa mapini ya kubembeleza, kama humjui vizuri sikiliza hizi ngoma usipozielewa hata nusu yake nakurudishia hela ya bando;
1. Slow
2. Sikupendi(mhh mhhh)
3. Naogopa
4. Siri
5. Mbeleko
6. I love u
7. Teamo
8. Mama la Mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Pochi Nene ni usenge mkubwa Sana rayvany alishawah ufanyaHiyo mmh ni yake kabisa huyo Willy Paul hawezi kujivunia, maana Melody yote ni ya 'sikupendi'. Sema Rayvanny angekomaa zaidi na nyimbo za slow kuliko makelele ya sijui Pochi Nene
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Kitu hapo Fanya utafiti Upya utakujagundua hata Kwenye Top 5 hayumo
Katika hao madogo usimsahau KayumbaNyimbo za kawaida tu hizo mbona kuna madogo wengi tu siku hiz wanaimba nyimbo kali zaidi ya hiz sema ndo hivy wanakosa pesa ya promotion
kayumba saivi anajitahidi sana
Huo ndo Ukweli MkuuHii thread isingekamilika bila comment ya namna hii kutoka kwako.
Binafsi nilikuwa napitia comments kuona kama umeshapita humu.
Huo ndo Ukweli Mkuu
Uzee unaanzia miaka mingapi mkuu?
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Na yako.
Kayumba hamna kitu pale.kayumba saivi anajitahidi sana
Hiv WCB walikulawiti Nini? SEMA tu ukweli maana si kwa hasira hizo mpaka watu humu wamekukariri.Huo ndo Ukweli Mkuu
Mkuu ni vyema kucotro Mihemko yako, kukutolea maneno ya kashifa na kukuandama kwa kejeri naweza sana yani tumo humu for fan hakuna analipwa kama Umeshindwa Battle ni bora ukae kimya Coment au post zangu uwe unazipita kimya kimya..Hiv WCB walikulawiti Nini? SEMA tu ukweli maana si kwa hasira hizo mpaka watu humu wamekukariri.
Me nimeuliza tu mbona umepaniki kiasi hicho na sio tu Mimi pekee ninaejiuliza swali Kama Hilo basi Kama sio hiyo sababu basi tuambie sababu ipi inayokufanya uwe na chuki iliyopitiliza kwa WCB?Mkuu ni vyema kucotro Mihemko yako, kukutolea maneno ya kashifa na kukuandama kwa kejeri naweza sana yani tumo humu for fan hakuna analipwa kama Umeshindwa Battle ni bora ukae kimya Coment au post zangu uwe unazipita kimya kimya..
Kama unajiweza pia tukae humo humo kwenye Battle ya kashifa na matusi najiweza na nakumudu
Usijifanye hujui Chuki Ilianza baada ya Diamond kunichukulia Poneo langu Juma Lokole(Innocent dependent) iliniuma sana nilikua najipakulia taro kiulaini.Me nimeuliza tu mbona umepaniki kiasi hicho na sio tu Mimi pekee ninaejiuliza swali Kama Hilo basi Kama sio hiyo sababu basi tuambie sababu ipi inayokufanya uwe na chuki iliyopitiliza kwa WCB?