Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,222
umeanza...! Hivi wewe mwanaume kweli?Kayumba hamna kitu pale.
umeanza...! Hivi wewe mwanaume kweli?Kayumba hamna kitu pale.
Hana nyimbo Kali utaka niongopee moyo wangu?umeanza...! Hivi wewe mwanaume kweli?
kwangu me ana nyimbo kali. unataka nikuskilize ww? We vp ww?Hana nyimbo Kali utaka niongopee moyo wangu?
Sijui tetema [emoji3][emoji3][emoji3]Hiyo mmh ni yake kabisa huyo Willy Paul hawezi kujivunia, maana Melody yote ni ya 'sikupendi'. Sema Rayvanny angekomaa zaidi na nyimbo za slow kuliko makelele ya sijui Pochi Nene
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa ni nouma hapitwi na uzi Wa WCB , na yupo extremely negative vibaya Sana na WCB😀Hii thread isingekamilika bila comment ya namna hii kutoka kwako.
Binafsi nilikuwa napitia comments kuona kama umeshapita humu.
Nitajaribu kutafuta ivyo vibao vyakeKwa sasa ni moja ya wasanii wanaonikosha sana kwa mapini ya kubembeleza, kama humjui vizuri sikiliza hizi ngoma usipozielewa hata nusu yake nakurudishia hela ya bando;
1. Slow
2. Sikupendi(mhh mhhh)
3. Naogopa
4. Siri
5. Mbeleko
6. I love u
7. Teamo
8. Mama la Mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo halipingiki mkuuRayvanny yupo vizuri ila hiyo naogopa bonge la Pini kijana ana uandishi mzuri Sana na sauti nzuri.
Mimi vipMimi binafsi Rayvanny ndiye msanii wa WCB ninayemkubali kuliko wooote
Hahahahaha labda wa zogo za nyegezi na tetema sio slow nazo zijuwa mimi ... bedroom ft Harmonize jeshiKwa sasa ni moja ya wasanii wanaonikosha sana kwa mapini ya kubembeleza, kama humjui vizuri sikiliza hizi ngoma usipozielewa hata nusu yake nakurudishia hela ya bando;
1. Slow
2. Sikupendi(mhh mhhh)
3. Naogopa
4. Siri
5. Mbeleko
6. I love u
7. Teamo
8. Mama la Mama
9. Wasiwasi
10. Ex Boyfriend
Sent using Jamii Forums mobile app
Sarah kumbe upo hukuHahahahaha labda wa zogo za nyegezi na tetema sio slow nazo zijuwa mimi ... bedroom ft Harmonize jeshi
Sent using Jamii Forums mobile app
KiaziChokocho andunje.
Sent from my SM-J700H using Tapatalk