Rayvanny ni bingwa wa mapini ya slow

Rayvanny ni bingwa wa mapini ya slow

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,916
Reaction score
15,974
Kwa sasa ni moja ya wasanii wanaonikosha sana kwa mapini ya kubembeleza, kama humjui vizuri sikiliza hizi ngoma usipozielewa hata nusu yake nakurudishia hela ya bando;

1. Slow
2. Sikupendi(mhh mhhh)
3. Naogopa
4. Siri
5. Mbeleko
6. I love u
7. Teamo
8. Mama la Mama
9. Wasiwasi
10. Ex Boyfriend

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli mimi siwezi kuacha kusikiliza Slow Jams za 90's&2000's nikaja kusikiliza hizo kelele za huyo bwn mdogo.

Inshort bongo fleva sisikilizagi.

Ni mtizamo wangu.

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Kwa sasa ni moja ya wasanii wanaonikosha sana kwa mapini ya kubembeleza, kama humjui vizuri sikiliza hizi ngoma usipozielewa hata nusu yake nakurudishia hela ya bando;

1. Slow
2. Sikupendi(mhh mhhh)
3. Naogopa
4. Siri
5. Mbeleko
6. I love u
7. Teamo
8. Mama la Mama

Sent using Jamii Forums mobile app
Rayvanny yupo vizuri ila hiyo naogopa bonge la Pini kijana ana uandishi mzuri Sana na sauti nzuri.
 
Uzee unakusumbua nduguyangu, haya mambo tuachie vijana

Sent using Jamii Forums mobile app
Amna sio uzee kipendacho roho sio lazima mtu kupenda music ambao unapenda ww ndio maana kuna wapenda Singeli, Bolingo, Hip Hop, Rnb, Zuku na Raga, Dance hall, Pop nk.. Music ni cake kubwa sana kila mtu anakula anapotaka mm napenda Hip Hop, Rnb na Pop ndio zimejaa kwenye simu yangu huwa napenda kusikia zile f*** ndio raha yangu.
 
Aisee tuko pamoja mwenyekiti,vitu vya dizaini kama HIT EM UP.

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Kwa sasa ni moja ya wasanii wanaonikosha sana kwa mapini ya kubembeleza, kama humjui vizuri sikiliza hizi ngoma usipozielewa hata nusu yake nakurudishia hela ya bando;

1. Slow
2. Sikupendi(mhh mhhh)
3. Naogopa
4. Siri
5. Mbeleko
6. I love u
7. Teamo
8. Mama la Mama

Sent using Jamii Forums mobile app
Anamkopi Ali Kiba
 
Kuna Demu kisa huu wimbo akaelewa Swaga.

Mmmh, Namshukuru Mola kanijalia
Mrembo wa sura hadi tabia
Nina kila sababu ya kujivunia iyee
Yaani kila kona umetimia
Napenda manukato ukinukia
Ukinigusa ndo nazimia iyee

Yaani kama ndege na wanae
Tuogelee na tupae
Kwenye kiota tukakae mi nawe
Uje nikubebe washangae
Wenye uchungu wakazae
Tukicheza kuche kuche
Nahodha eh mi nawe
Una guu la beer wala huna fito
Chuchu zako hunitoa majicho
Hata uvae gunia bado uko simple
Unapendeza
Shepu sinia, kiuno kijiko
Chumbani wanipa madiko diko
Ukifungua Coke yaani ni mafuriko
Umeniweza
Ooh my baby Teamo(Teamo)
Ooh my baby Teamo(Teamo)
[Messias Maricoa]
Mon Amour! Sabes bem que tu es a unica
Metade de mim(Metade de Mim)
Mon Amour! Es que de todas as rosas
Que tem no jardim(No jardim)
Essa forma voce enlouque
Me deixa com agua na boca
Me purifica no lume
Vamos pra mama, pra papa
Por fazer essa menina,
Menina’eee mais linda do mundo
Es a tal choco-choco que me tocou
A mamacita que me tombolou (Que me tombolou)
Es a tal choco-choco que me tocou
A mamacita que me tombolou (Que me tombolou)
Ooh my baby Teamo(Teamo)
Ooh my baby Teamo(Teamo)
Utamu wa asali
Najilamba lamba tu
Nakuupoteza mi sidhani(Aaah)
Twende Zanzibari
Kwenye marashi ya karafuu
Tukale na pweza forodhani(Aaah)
 
Hakuna Kitu hapo Fanya utafiti Upya utakujagundua hata Kwenye Top 5 hayumo
 
Back
Top Bottom