Ray ageuka mbogo baada ya kuhusishwa na kifo cha kanumba.......amsweka ndani mmiliki wa u-turn

mi sio mange ila ninauhakika kwenye blog yake hajawah kutoa habari inayomuhusu ray, no research no right to speak. mfyuuuuuuuuuuu

Kama wewe siyo huyo mtu...and you never seen some shit like what we are talking then shut up!!!cause people they have seen that shit....waswahili wanasema mdomo ulipoza kichwa...domo kubwa balaa kubwa
 
Kama wewe siyo huyo mtu...and you never seen some shit like what we are talking then shut up!!!cause people they have seen that shit....waswahili wanasema mdomo ulipoza kichwa...domo kubwa balaa kubwa
dont say some people, what about you? have you seen it, if not shut up you're big mouth like ungo
 
Nimechoka na hizi taarifa za uzushi kila siku,badala ya watu kufanya mambo ya maana tunakaa na kuanza kujadili vitu ambavyo hatuna uhakika navyo.
Hivi tukiwa na subira na kuiachia polisi na mahakama vifanye kazi yake tunakosa kitu gani?

ahsante mkuu! nimeongea haya haya toka asubuhi! kwamba hakuna vitu vingine vya kudiscuss ni KANUMBA TUUUUUUUUU! Nikaonekana sifai, nikaonekana bado nina MAGAMBA AMONG WALIOJIVUA GAMBA!
 
inaelekea wivu umekujaa kwa yeye kukaa dubai. USHAURI WANGU KWAKO panda juu ukamzibie

NAKWAMBIA WANAOMKANDIA HUMU NDANI NI WALE AMBAO WALIMUOMBA UVUNGU AKAWATOLEA NJE! HAIWEZEKANI UKAWA NA HASIRA NA MTU AMBAYE HUJAWAHI HATA KUKUTANA NAYE! HAMFAHAMIANI KABISA! Hebu tutoe personal issues! iacheni mahakama na polisi videal na mange!
 
it will be good for her other with she'll learn her lesson...she have to face the music

Kujibeba ?who ?I feel pity for you

kujibeba wewe! na wote ambao yakwenu makwenu yamepinda kama RAINBOW, lakini mpo hapa kunyoosha ya RAY NA MANGE! PITY FOR YOU TOO!
 
Ndugu zangu wa sheria ivi apo si ndo Law of Tort yatumika kama sikosei.
 
dont say some people, what about you? have you seen it, if not shut up you're big mouth like ungo

What answer do you like to get?
which one will be in your favor?
Hope you just pass time here like what I do ..lol..
sorry if your direct involved....I can feel it "intuition"
Hope you know now nani atajibeba eenhe
 
Binafsi nilipoona post ile niliona huyu dada amevuka red line. Ray is a private person hana ulinzi wowote na wakati huohuo wakati Kanumba anafariki hawakuwa kwenye good terms na Ray, ni rahisi sana mashabiki na watu walioathirika moja kwa moja na kifo cha Kanumba kufikiria vengeance dhidi ya Ray.

Sometimes lazima watu wafikirie beyond short term publicity. Sasa hivi magazeti ya udaku nayo yameanza kuugeuza msiba kuwa mradi kwa kuandika stori za kipuuzi. Kanumba ana shabiki wengi sana na wengi bado wana uchungu na kifo chake hivyo katika maandishi hayo ni vema kujiepusha na kuhusisha mtu yeyote na kifo cha Kanumba kwa njia yoyote ile mpaka pale mahakama itakapothibitisha hilo kwa usalama wa wahusika. We have lost Kanumba we don't want to lose more people in the Film industry.
 
NAKWAMBIA WANAOMKANDIA HUMU NDANI NI WALE AMBAO WALIMUOMBA UVUNGU AKAWATOLEA NJE! HAIWEZEKANI UKAWA NA HASIRA NA MTU AMBAYE HUJAWAHI HATA KUKUTANA NAYE! HAMFAHAMIANI KABISA! Hebu tutoe personal issues! iacheni mahakama na polisi videal na mange!

Her shit was brought her and it was disgusting !
She is not that famous ,is she?nah
we discuss what she did,the damage she made and the music she have to face..this is a forum remember
The last part is nice of you..lets the right institution deal with the case but we are not doing anything unlike what she did on that dude
 
yeye sia anandai ana taarifa za kuaminika? sasa ndio wakati wakuthibitisha hizo tuhuma zake katika vyombo vya sheria.sio kuandika habari za udaku alaf anaaminisha watu kua ni za uhakika.
Ngoja na yeye aone tofauti ya Dubai na Oysterbay police post
 
Umbea si uongo ni maneno ya siyokuhusu kwa sana tuu.........You not gonna fool anybody...kama amefuta uliza lawyer wako mashahidi wangapi wanatakiwa kusema alichopost ili atiwe hatiani...idadi hiyo itafika

Let her face the music ...you cant just wake up and get into peoples nerves!!! damn girl
unaonekana una NGAMA! labda alikuwa anacheza staki nataka, mjaribu tena this tym mayb atakusuc.. co..., mbona una hasira sana na mange??? pole sana u r not of her class! we komaza vidole kwa ku-comment, mwenzio anatengeneza pesa!
 
unaonekana una NGAMA! labda alikuwa anacheza staki nataka, mjaribu tena this tym mayb atakusuc.. co..., mbona una hasira sana na mange??? pole sana u r not of her class! we komaza vidole kwa ku-comment, mwenzio anatengeneza pesa!

I don't even know the girl ...
is she beautiful ..?thick and curved ?she got a booty? light skin or chocolate color?and understanding?
That are my no-negotiable if she meet the criteria I may like her but I'm not looking .

Class ? what class is she!!? what is accomplished ?what she earn ?what her attitude?
I don't know this girl may be she of that class....
Talking about making money....I get decent pay check I with I could tell you but that would be childish
This is spear time ...I hope is the same to you too
 
nina uhakika hajapost kitu kinachomuhusu ray, na kwa taarifa yako mange anapeta mtaani MTAJIBEBAJE?

Lumi,
Mange ame delete post ile katika blog yake baada ya hili timbwili la Oysterbay, lakini aliandika hivi:-

Monday, April 16, 2012
MANGE
KIMAMBI - LULU HAUSIKI KWENYE KIFO CHA KANUMBA - RAY

Written by Mange
**

Monday, 16 April 2012 22:04

*

Since the day kanumba died I have been
telling everyone who would listen, Lulu aint no killer but she was used
unknowingly…..

So today I met a policeman wa kituo cha Oysterbay who gave
me this info…ofcourse siwezi kumtaja…

So this is what he told
me…

Usiku ule Kanumba alipofariki walienda kumshikia Lulu Coco beach akiwa
ana have fun na washkaji wake like nothing happened.

So its evident Lulu had
no idea kuwa Kanumba alifariki baada ya kudondoka, otherwise angeenda hata
kujificha but instead alienda kula bata na washkaji zake Coco beach mpaka polisi
waliokuwa wamevaa nguo za kiraia kuwakamata kundi zima na kuwalaza ndani.
Wengine waliachiwa asubuhi yake….

So that misterieous phone call that Lulu
was making that go..
.

Chanzo cha habari ni blog yake mwenyewe, kama alivyokuwa-quoted na mmoja wa wasomaji wake. BONYEZA HAPA
 
unaonekana una NGAMA! labda alikuwa anacheza staki nataka, mjaribu tena this tym mayb atakusuc.. co..., mbona una hasira sana na mange??? pole sana u r not of her class! we komaza vidole kwa ku-comment, mwenzio anatengeneza pesa!

anatengeneza pesa gani naye hana kazi ya kumuingizia kipato na analala kwa watu?
 
Ukiwa public mkuu na mambo yako yako hivyo!
Na pili mara nyingi wazazi ndio vioo vya watoto, so awe mfu awe mzima alimtengeneza Mange wenu!

NATA with all due respect, hapa marehemu mzazi anaingiaje? Hivi hakuna watoto wanaokengeuka pasipo kuwa influenced na wazazi wao? nway ni opinion yangu tu kuwa si vema kuwasumbua marehemu huko walikolala, wewe unawezaendelea kuwahukumu huku duniani wakati wenzako walishangengeneza wakati wanakata roho. Ni kwa ajili tu ya kuwaheshimu mkuu, nothing more or less.
 
Point ya Ray inaitwa 'pointless' kwani hata ndugu wa damu - baba mmoja, mama mmoja proven by DNA - wanauwana; sasa ijekuwa marafiki tu!!!!!!!

WaTZ acheni kuchafuana,kwanini kuspeculate kwa kutaja jina la mtu kwenye mauaji ? ina maana kama dada na kaka wanauwana ni lazima rafiki Ray awe amemuua rafiki yake ? acha polisi wafanye uchunguzi wao,kifo ni one off transaction si vema kuzua juu ya msababishaji ni kweli mnaweza kumharibia Ray maisha yake na pia kuhatarisha maisha yake,Kwani kwa Kanumba kuwa hai wengi walikuwa wanapata mkate wao wa kila siku,watu hao wanahasira si ya kifo cha Kanumba bali kipato chao kupotea, kwa hasira wanaweza kulipa hasira zao kwa yoyote,hivyo kitendo cha kumtaja Ray ni kumuexpose kwenye hatari ya wapambe wa Mar.Kanumba...
 
Back
Top Bottom