Ray ageuka mbogo baada ya kuhusishwa na kifo cha kanumba.......amsweka ndani mmiliki wa u-turn

Gumzo

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
211
7
Baada ya stori kuenea kwamba Mwigizaji RAY anahusika moja kwa moja na kifo cha mwigizaji STEVEN KANUMBA, mwigizaji huyo amezungumza yafuatayo kwenye AMPLIFAYA ya CLOUDS FM.


Amesema "Nimekua nikizisikia sana hizi tuhuma, sio kweli kwa sababu Kanumba ni mdogo wangu wa karibu sana tumetoka mbali sana kimaisha mimi na yeye, nimekua na mazoea ya kuona vitu kila siku vinaandikwa ambapo juzi nilipigiwa simu na kuambiwa nitazame kwenye blog ya U Turn ambayo anaimiliki huyu dada ambae simfahamu anaitwa Mange Kimambi"


"Alikua ameandika kwamba amepata taarifa kutoka kwa polisi mmoja wa Osterbay kwamba Ray ndio aliepiga simu kwa Lulu siku ya kifo cha Kanumba kwa hiyo Lulu ametumika kufanya mauaji bila kujijua, na pia kukawa kuna swali kwamba kwa nini Ray alikua wa kwanza kufika kwa marehemu Kanumba, Mungu ndie anaejua" – Ray
 
Makubwa! Kanumba alivyofariki huyo dada aliandika kwenye blog yake kua hajawahi kumuona kanumba live,wala kuongea nae kwenye simu na wala hajawahi kuangalia movie zake sasa how comes ndo wa kwanza kuacuse watu kuhusika na kifo cha great kwenye blog yake?..
 
hana jipya huyo kimambi. yeye amekuwa polisi. nilipomwaona mara ya kwanza kwa bahati mbaya kwenye wanawake live cha EATV akijisfia kwa mabo ya ajabu ajabu basi nilijua ni mpenda sifa za KIJINGA.
 
MANGE ni nani? Mara kaishtaki Google mara yupo humu JF
Hivi hakuna mwanaume wa kz humu jamvini.akanidadavulia maana mmedokeza ana zungu hebu mtafutieni RUNGU awe SILENT WHISPER
 
Alichonifuraisha Ray ni kuwa tayari kachukua hatua dhidi ya huyo mroopokaji ...well done sio kuishia kulalama tuuu kama wabongo wengine.
Na ukiangalia huyo mropokaji ana kesi ya defamation ,na kuhatarisha maisha ..na zingine wanajua lawyers...
sijuhi kama kuingilia uchunguzi kama inaingia ..not sure!!
 
weng walimcheka wema kwa kutafuta umaarufu kwa kifo cha kanumba , je huyu mdada (mange) tumweke kwenye kundi gani??? je huo upuuzi aufanyao anajua gharama yake ??? nini kinampa kiburi??
 
Umenena mkuu hakana lolote, Ray kashikishe adabu kwa kukurupukia mambo yasiyomhusu.

Ray ndo anakurupuka,atampa promo zaidi huyo mdada na globe yake,,the best way ilikuwa ni kukaa kimya tu na kumpotezea,after time kila kitu kingekuwa kimya
 
Psychological problems huyu dada anayo! Kwa wasiojua kuna tetesi babake mzee kimambi alikuwa anajishughulisha na ujenzi, alikuwa malaya anatembea hadi na wake za watu. Kuna mtu alimtegea tego akamnasa na mke wake ikabidi jamaa aliyeibiwa mke aje na baunsa aliyekuwa ameathirika kwa UKIMWI, Mzee kimambi aliingiliwa kinyume na maumbile na huyo mtu ambaye alimwonyesha na cheti cha +ve HIV. Then akaachiwa alipotoka pale baada ya muda akaenda kupima na kujikuta anao hivyo akajiua nyumbani kwake mwenyewe. What a pity! I think this hunts her she's not herself jamani huyu dada anawafagilia wenzake walioolewa/kuzaa na wadhungu km yeye. Na mbaya zaidi huponda wanaume wa kibongo eti "hawajui mapenzi na kujali"
 
Point ya Ray inaitwa 'pointless' kwani hata ndugu wa damu - baba mmoja, mama mmoja proven by DNA - wanauwana; sasa ijekuwa marafiki tu!!!!!!!
 
Kifupi Mange ni malaya tu hapa mjini hana lolote maana alichokuwa anakitaka atakipata tu muda c mrefu!
 
Back
Top Bottom