Naamka saa 9 -9:30 usiku, naenda chooni ,natia udhu.
Naswali tahajud pamoja na witri.
Baadae naomba dua mbali mbali ikiwemo kuepushwa na moto na kuingizwa pepo , na Allah kuniondoa hali ya kuwa nimo ndani ya radhi zake , nafanya adhkar na nasoma Quran kidogo.
Saa 5: 15 naswali swala ya Alfajir, baadae nasoma Quran na adhkar mbali mbali
Saa 12:00 nafanya mazoezi ya viungo huku nikienda mchaka mchaka.
Nikirudi nankunywa chai na naenda kutafuta rizik kwa kuwatumikia wananchi.
Saa 12 jioni, nakaa na familia kabla swala ya Isha huku nikiandika paper mbali mbali kwa ajili ya kupablish ktk journal za kimataifa. Nimebase ktk technology .
Baada ya kuswali Isha naperuzi taarifa mbali mbali ktk mitandao mbali mbali. Saa 4 usiku nalala.
Changamoto
Nakosa muda wa kukunja goti kusoma darsa . Inshallah 2027 nategemea kutenga muda wa kusoma darsa kuifahamu zaidi dini yangu.
VITU NILIVYOFANIKIWA KUVIEUPUKA
1. Kukaa kwenye TV kuangalia mpira
2. Club za pombe
3. Maskani au mabaraza ya siasa
4. Majumba ya starehe
Wewe jee? Ipi ratiba yako?