Thanda
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,915
- 596
Hapana Mkuu, Ninajiandaa kuelekea Abbeysinia (Ethiopia) baadae leo. Nimekumbuka chakula chao "Njera" hiyo ndio pilau yangu kwa mwaka huu shemeji.....Ila katika maandalizi ya kuupokea mwaka mpya(New Year Eve)nitakuwa nyumbani.
[QUOTE=Mwita Maranya;5278244]Mkuu Thanda utakuwepo kwenye mapokezi kesho?[/QUOTE]
[QUOTE=Mwita Maranya;5278244]Mkuu Thanda utakuwepo kwenye mapokezi kesho?[/QUOTE]