Ratiba ya mapokezi ya Lema kesho Arusha!

Tulianza na Mungu na tumemaliza na Mungu,wao wanapesa CCM sisi Chadema tunaMUNGU tunayempigania

Mkuu hapo kwenye RED, hatuwezi kumpigania MUNGU, hatuna uwezo huo, lakini MUNGU ndiye anayetupigania, sisi tu viumbe dhaifu sana kwa CCM kiasi kwamba bila MUNGU kuwa kati yetu, hatuwezi chochote.
MUNGU atakuwa nasi daima hadi hapo ukombozi wa nchi hii utakapokamilika 2015
 
Hii yote itagharimu kiasi gani?

He has won the case, maisha yaendelee.

Hizi sarakasi za mapokezi na maonyesho itatofautisha vipi CHADEMA na CCM.

Nilidhania watu watashauri gharama, fedha na resource hizo zipelekwe somewhere else. Arusha tayari ngome yenu. Pelekeni hizo nguvu sehemu nyingine.

Mnawapa maadui wenu points rahisi sana. Kesho UHURU likiandika "Mbowe na Lema wachoma mabilioni ya chama kusheherekea ushindi" mtashangaa?

Washabiki wa CHADEMA wana hatari ya kukiua chama chao zaidi hata ya CCM. Kwa mfano baadhi ya washabiki wengi wanapenda slogan ya "tumeanza na mungu, tumemaliza na mungu". Kwenye siasa kuna mungu? Jifunzeni kutenganisha siasa na mungu.

Katika mazingira haya ya udini ukisema "umeanza na mungu, umemaliza na mungu" ni waislam wangapi watakua tayari kuwa wanachama? Wao si watahoji Allah yupo wapi? Wahindi nao? Wasio na dini je? Chama hakina dini, mwacheni mungu wenu huko huko. Hapa shabikieni itikadi na sera za chama.

Mungu kwa kiarabu anaitwa allah ,sasa sijui unauliza kitu gani ndugu ! Maana huku tunaongea kiswahili .
 
Viva cdm nisalam tosha wa ndugu niwaulize hivi igunga na sumbawanga,kunasubiliwa nini?nihabarishen tafadhali
 
Washabiki wa CHADEMA wana hatari HATA JIWE LAWEZA KUWA MUNGU WAKO,

Here we go again. Mambo ya "..sidhani hata kama panya watapona". Siasa na dini/mungu havichanganywi, period.

ivi umekwenda shule?
Hapana.

Kwa taarifa yako mikutano ya cdm haina gharama coz hatuhitaji kugawa 2000 wala kukodisha lori.

Huwezi kusema haina gharama. Kuna wabunge na viongozi wa chama wanasafiri kutoka Dar mpaka Arusha. Kuna gharama za malazi na chakula. Kuna helikopta na magari, hapo kuna gharama za mafuta, services, kulipa madereva etc. Kuna gharama za vyombo vya sauti siku ya mkutano and all that. Hata kama ni pesa yao mfukoni, haina maana, kwa sababu haya yote yanafanywa kwenye jimbo ambalo hata kesho asubuhi uchaguzi ukifanyika chadema itashinda. Huoni kama ni waste of resources?
 
Mungu kwa kiarabu anaitwa allah ,sasa sijui unauliza kitu gani ndugu ! Maana huku tunaongea kiswahili .

Kuhusu mungu, dini na imani.. Elewa misingi ya kutochanganya siasa na dini. Leo hii ukiulizwa CHADEMA ni dini gani au inabudu mungu yupi, jibu ni kwamba haina dini wala mungu. Kuna wanachama wa imani tofauti na kuna wasioamini mungu.

Unaelewa kwamba sasa hivi kuna mazingira na harufu ya udini. Mfano ni majibizano na michango ya members hapa. Sasa kama CHADEMA inashutumiwa kuwa chama cha kikristu na wewe unasema "tulianza na mungu, tunamaliza na mungu" .. Hii slogan itatafsirika vipi?

Siasa na dini/mungu havichanganywi. Dini/mungu, that's your personal thing.
 
Iguga na sumbawanga patachezwa disco na kila raia huko kama hitimisho l auhai wa CCM.
 
Kuhusu mungu, dini na imani.. Elewa misingi ya kutochanganya siasa na dini. Leo hii ukiulizwa CHADEMA ni dini gani au inabudu mungu yupi, jibu ni kwamba haina dini wala mungu. Kuna wanachama wa imani tofauti na kuna wasioamini mungu.

Unaelewa kwamba sasa hivi kuna mazingira na harufu ya udini. Mfano ni majibizano na michango ya members hapa. Sasa kama CHADEMA inashutumiwa kuwa chama cha kikristu na wewe unasema "tulianza na mungu, tunamaliza na mungu" .. Hii slogan itatafsirika vipi?

Siasa na dini/mungu havichanganywi. Dini/mungu, that's your personal thing.

Hivi unajua nini misingi ya utawala wa serikali zilizoko duniani? Kama kila mtu ana Mungu wake (ambao ndio ukweli) na huyo Mungu hajaidhinishwa na chama kuna ubaya gani wanachama kumsifia Mungu wao? Kwa wasio muamini Mungu madhali hawabaguliwi kwa imani yao kuna shida gani? Kuna mwanachama ambaye aliambiwa sifa ya kuingia kwenye chama ni kumwamini Mungu? Tuhuma za udini, ukabila, ukanda, ubaguzi, usomi, upendeleo na yanayofanana na hayo katu hazitakoma wala hazitaachwa kutolewa maana ndiyo silaha pekee waliyo nayo maadui wa CHADEMA. Hata wahenga walisema Wanadamu (FISI WENU) ngwamba hawaachi kwamba. Watasema tu labda uwanyang'anye ndimi zao. Lakini hiyo isiwazuie wanachama wao kumsifu Mungu wao kila mmoja kwa imani au dini yake.

Hali mbaya iliyoko FISI WENU na serikali yake haitokani na kumkumbatia Mungu bali ni kinyume chake. Hivyo kusema kuwa tusichanganye dini na siasa ni sawa lakini Mungu na siasa hawagombani na Yeye ndiye muanzilishi wa siasa (kwa taarifa yako). Binadamu asipokuwa na hofu ya Mungu maovu yake yanakithiri, huharibu siasa na vitendo vyake vinamzidi mnyama. Tanzania imekuwa na hali mbaya kwa sababu watawala (si viongozi) wake hawana hofu ya Mungu japo wana dini zao. Huyu Mungu anayesifiwa na watu humu ni yule ambaye hana dini, anayeaminika kuwa muumba wa vinavyoonekana na visivyoonekana. Anayenyeshea mvua wabaya na wema. Mwenye kuangaza kwa jua mchana na mwezi usiku na kutupa pumzi ya bure siku zote bila kujali uovu wala utakatifu wetu. Tofauti zetu za aina zote kwake yeye ni mapambo kama yalivyo maua machoni mwetu. Kwake hakuna mkristo wala muislam, hakuna kafiri wala mpagani maana wote twaitika kwake. Huyo ndiye anayestahili kusifiwa. Huyo ndiye kwenye siasa na mambo mengine muhimu unapenda kuanza naye na kumaliza naye.

Kwa kweli ni vema tena inapendeza "KUANZA NA MUNGU NA KUMALIZA NA MUNGU".
 
Kamanda lema alisema -mjengoni nitarudi iwe kwa dirishani,kwa kuruka ukuta au kwa kupitia mlangoni .sasa yametimia. Poleni sana magamba na hongera sana cdm.
 
Police watapiga marufuku kwa amri ya mkuu wa mkoa. Wameishiwa nyimbo, kilichobaki ni kuua
 
viva chadema,viva GODBLESS LEMA...peoples poooweeer....
 
Kuhusu mungu, dini na imani.. Elewa misingi ya kutochanganya siasa na dini. Leo hii ukiulizwa CHADEMA ni dini gani au inabudu mungu yupi, jibu ni kwamba haina dini wala mungu. Kuna wanachama wa imani tofauti na kuna wasioamini mungu.

Unaelewa kwamba sasa hivi kuna mazingira na harufu ya udini. Mfano ni majibizano na michango ya members hapa. Sasa kama CHADEMA inashutumiwa kuwa chama cha kikristu na wewe unasema "tulianza na mungu, tunamaliza na mungu" .. Hii slogan itatafsirika vipi?

Siasa na dini/mungu havichanganywi. Dini/mungu, that's your personal thing.

Ndugu introvert, 'Mungu' ni Kiswahili sanifu na fasaha kwa huyo Muumba ambaye kwa Kiarabu sanifu ni 'Allah' - neno ambali pia kwa usahihi linatumika katika muktadha wa Kiislamu kwa wazungumzaji wa Kiswahili kusisitiza chimbuko la dini yao. Kama mdau alivyojaribu kueleza, kwa vile tunazungumza katika Kiswahili ni muafaka kabisa kutumia neno 'Mungu' bila kujali imani. Hayo ya imani kwamba 'Mungu' ni wa wakristu na 'Allah' ni wa waislamu yanapenyezwa na wenye imani kali ambao inabidi ifike mahali tuwapuuzie vinginevyo nchi itasimama kama maji kwenye mtungi. Watatwambia na wimbo wa taifa tuufute ambao unasema 'Mungu ibariki Afrika... Mungu ibariki Tanzania'. Mtunzi aliyetunga huo wimbo wala hakuwa na chembe ya kubagua mtu, bali alitumia Kiswahili sanifu.
 
pamoja! mungu awasimamie katika yote hayo ili yafanyike kwa amani na hatutopenda kusikia eti kamanda mmoja amedhurika.
furaha yote ijengeke ktk misingi yote ya amani.
Onesheni njia kwa vyama vingine ya siasa kuwa chadema ni bahari yenye maji tele ya amani yasiyo kauka na hayatotokea kukauka kamwe!!!!!
May God have mercy on you!!!!
 
Hii yote itagharimu kiasi gani?

He has won the case, maisha yaendelee.

Hizi sarakasi za mapokezi na maonyesho itatofautisha vipi CHADEMA na CCM.

Nilidhania watu watashauri gharama, fedha na resource hizo zipelekwe somewhere else. Arusha tayari ngome yenu. Pelekeni hizo nguvu sehemu nyingine.

Mnawapa maadui wenu points rahisi sana. Kesho UHURU likiandika "Mbowe na Lema wachoma mabilioni ya chama kusheherekea ushindi" mtashangaa?

Washabiki wa CHADEMA wana hatari ya kukiua chama chao zaidi hata ya CCM. Kwa mfano baadhi ya washabiki wengi wanapenda slogan ya "tumeanza na mungu, tumemaliza na mungu". Kwenye siasa kuna mungu? Jifunzeni kutenganisha siasa na mungu.

Katika mazingira haya ya udini ukisema "umeanza na mungu, umemaliza na mungu" ni waislam wangapi watakua tayari kuwa wanachama? Wao si watahoji Allah yupo wapi? Wahindi nao? Wasio na dini je? Chama hakina dini, mwacheni mungu wenu huko huko. Hapa shabikieni itikadi na sera za chama.

kama kuna jambo unalifanya bila Mungu basi ni ovu. Lazima uanze na Mungu na endelee kuwa nae mpaka mwisho. Allah si kiswahili ila inamaanisha Mungu. Wahindi, budha, waislam, wakristo wote wakisema Mungu wanamaa Mungu
 
Tulianza na Mungu na tumemaliza na Mungu,wao wanapesa CCM sisi Chadema tunaMUNGU tunayempigania

huyo Mungu wenu hana uwezo wa kujipigania mwenyewe hadi nyinyi ndio mumpiganie???
 
Hii yote itagharimu kiasi gani?

He has won the case, maisha yaendelee.

Hizi sarakasi za mapokezi na maonyesho itatofautisha vipi CHADEMA na CCM.

Nilidhania watu watashauri gharama, fedha na resource hizo zipelekwe somewhere else. Arusha tayari ngome yenu. Pelekeni hizo nguvu sehemu nyingine.

Mnawapa maadui wenu points rahisi sana. Kesho UHURU likiandika "Mbowe na Lema wachoma mabilioni ya chama kusheherekea ushindi" mtashangaa?

Washabiki wa CHADEMA wana hatari ya kukiua chama chao zaidi hata ya CCM. Kwa mfano baadhi ya washabiki wengi wanapenda slogan ya "tumeanza na mungu, tumemaliza na mungu". Kwenye siasa kuna mungu? Jifunzeni kutenganisha siasa na mungu.

Katika mazingira haya ya udini ukisema "umeanza na mungu, umemaliza na mungu" ni waislam wangapi watakua tayari kuwa wanachama? Wao si watahoji Allah yupo wapi? Wahindi nao? Wasio na dini je? Chama hakina dini, mwacheni mungu wenu huko huko. Hapa shabikieni itikadi na sera za chama.

Acha upuuzi wako,Gamba namba moja,nakushauri Vua Gamba Vaa Gwanda,Hivi Rais anapoapa anakamata nini mkononi na akimaliza kuapa anatamka"MUNGU NISAIDIE".Wabunge nao huapa,hata kabla ya kikao cha bunge wanaanza kumwomba Mungu.Ni mambo mangapi magamba wanafanya wakati kuna watu wanalala njaa,Tisheti za kijani na kofia bureeeee!!!!.Uwe unajaribu kufikiria kabla ya kupost.
 
Back
Top Bottom