PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,202
- 8,781
Kwa hii ratiba, lazima Mkuu Paka Jimmy atakuwa na neno la kusema.
Mkuu, ratiba hii kweli kabisa imekaa kihovyohovyo sana, mtu aliyeiandaa si mtaalam.
Pia inaconfuse kwenye MUDA kwasababu Saa mbili ya asubuhi imeonyeshwa kwa figure 2, wakati pia saa 8 mchana imeonyeshwa kwa figure hiyohyo ya 2.
Haijatulia, japo KWA HAMASA TULIYO NAYO TUNAMEZEA.!!