Ratiba ya mapokezi ya Lema kesho Arusha!

Ratiba ya mapokezi ya Lema kesho Arusha!

Xmas ya mwaka huu imeka vyema Arusha City...!
Viva CDM..!
Wana Arusha tunawatakia kila kheri hiyo cku ya Kesho....!
Najua mtatuhakikishia usalama wenu na mali zenu... Hatuna hofu khs hilo., tunawaminia.
Bna aaagahah High Court aksanteni sana, jana mlitupa watanzania raha yetu ya haki kutendekaa...!
 
CDM mpelekeeni Nape Jnr mwaliko akashuhudie peoples power hapo Arusha City hiyo cku ya kesho...!
 
Back
Top Bottom