Rasmi sasa: Container zote za import kubaki bandarini

Rasmi sasa: Container zote za import kubaki bandarini

Mkuu kuwa mkweli,

kwenye mkataba wa TPA na ICD kuna kipengele ki nasema kuwa, mizigo itapelekwa IDC ikiwa tu eneo la kuhifadhia mizigo hiyo au Containers ndani ya Bandari litakuwa limejaa.

Sasa ICD nyingi zikawa zina mtandao wao hapo bandarini ambapo mizigo ikifika tu hata kama ndani ya Bandari bado kuna nafasi ya kuhifadhi mizigo ilikuwa inapelekwa ICD hivyo kuikosesha TPA mapato yake na wakati mwingine ICD zilikuwa zinawacheleweshea wateja wao mizigo yao kwa makusudi ili waweze kupata mapato.

kwa hatua hii, naishukuru sana serikali kwa hatua hii.
Ewaaaa... wewe umesema ukweli. Ila pia umesahau kipengele kimoja kuwa... mwenye mzigo pia ana uwezo wa kuamua mzigo wake akauchukulie wapi.

Lengo kuu ni kuondoa janjajanja ya ICDs kupiga deal na shipping lines ili mizigo yao iende ICDs wapige deal...

Na haya ndio yaliyokuwa yanapaswa kufanyika tangu kuanzishwa kwake, sema wajanja walifanya mambo yao juu kwa juu.

Hii ni hatua nzuri, kama utekelezaji utafanyika kwa uaminifu.
 
Sawa wewe mwenye uwezo wa kutofautisha tumekusikia lakini icds haziko tena, hilo ndio la msingi. Haya mengine ni blablaa tu.

Na washawasha!

375006"]Ungekuwa na uwezo wa kutofautisha kati ya eksi na kuzidisha, usingehoji suala la Bakhresa manake yeye haihitaji kuhamasishwa kujenga viwanda! That's one but second, Uwekezaji wa Bakhresa Mwandege haujaanza jana wala juzi... ameanza takribani miaka 5 iliyopita! Kinyume chake, serikali yenye maamuzi ya kukurupuka inatarajia kuhamasisha wafanyabiashara kuwekeza kwenye viwanda!![/QUOTE]
 
Lengo kuu ni kuondoa janjajanja ya ICDs kupiga deal na shipping lines ili mizigo yao iende ICDs wapige deal...

Na haya ndio yaliyokuwa yanapaswa kufanyika tangu kuanzishwa kwake, sema wajanja walifanya mambo yao juu kwa juu.

Hii ni hatua nzuri, kama utekelezaji utafanyika kwa uaminifu.
Kwanini ICDs zitumike kupiga deal? Hizo containers zinazoenda ICDs zinaingia nchini kupitia bandari bubu, au?
 
Wenye mipango thabiti jibu lingekuwa TUMESHAPANUA eneo la bandari.
Tuta-nita ni mipango ya baadaye.
Tatizo lile lile la kushindwa kujipanga mapema na kusubiri matokeo ya "kukurupuka".
Unajua kuna wastani wa container ngapi zinaingia kwa mwezi?
Rate ya uchukuaji wa container hizi ukoje?
Mkuu haya maamuzi ni ya kipindi hiki tu kwa sababu mizigo imepungua bandarini . Hakuna haja ya kupanua bandari wala nini kwa meli hizi tunazotegemea wafanyabaishara kutoka Rwanda sidhani kama kuna haja ya kupeleka containers ICD ila hapo baadae mzigo ukiwa wa kutosha ICD zitarudi katika umuhimu wake tu.
 
Sawa wewe mwenye uwezo wa kutofautisha tumekusikia lakini icds haziko tena, hilo ndio la msingi. Haya mengine ni blablaa tu.
Hiki ndicho nilitaka kufahamu ikiwa najadiliana na mtu mwenye uelewa au ndo wale wale ambao kazi yao ni kupiga makofi kwa kila jambo hata kama ni la kijinga!!!
 
Kwanini ICDs zitumike kupiga deal? Hizo containers zinazoenda ICDs zinaingia nchini kupitia bandari bubu, au?
Natamani nielewe ulichouliza... Umesahau yaliyotokea kwenye ICDs hata mwaka haujaisha??
 
Sina kipimia icd mimi. Wastage of time.

Na washawasha!
Hujui kitu... wewe ni miongoni mwa wale mavuvuzela!!! ICDs nchi hiii hazikwepeki unless kuwe na continuing decline of imports & exports!
 
Mi huwa najiuliza; hivi kuna siku tutasikia hotuba isiyo na malalamiko na lawama tka kwa mkuu kwenda wateule wake na mkuu wa awamu iliyopita?
Hivi haiwezekani mkuu kufanya kazi kwa weledi bila hata kwenda kumwaga hasira kwenye majukwaa?
Hivi haiwezekani kufanya kazi bila kuhitaji kushangiliwa?
Mwaka unawisha kwa kusikia mihadhara yenye mihemuko na lawama zaidi kuliko maneno chanya ya kuleta hamasa bila ku-inculcate nidhamu ya woga kwa watumishi.

Just thinking aloud!
Ukisikia Adui yako anakusifu ujue kuna mahali umepotoka.
 
Natamani nielewe ulichouliza... Umesahau yaliyotokea kwenye ICDs hata mwaka haujaisha??
Wapi hujaelewa?! Hujaelewa au unajifanya hujaelewa!! Ikiwa hizo containers zinapitia bandarini ambapo kuna maofisa wote wa TRA, sasa kwanini zisilipiwe ushuru?!
 
Wapi hujaelewa?! Hujaelewa au unajifanya hujaelewa!! Ikiwa hizo containers zinapitia bandarini ambapo kuna maofisa wote wa TRA, sasa kwanini zisilipiwe ushuru?!
Container hulipiwa ushuru pale mwenye mzigo anapokuja kuuchukua mzigo wake. Kwahiyo kama kontena litapelekwa ICD halitalipiwa ushuru likiwa bandarini... Kontela linaweza kupakuliwa melini leo, na kesho likahamishiwa kwenye ICD hata kabla mteja hajaanza kuprocess malipo ya kodi.
 
Tatizo si kodi ndg hapa ni ajira. Nchi inapokua na wasio na ajira wengi ni tatizo. Viongozi wote duniani hujivunia kuongeza ajira lkn hapa kwetu tunasifia MTU anae poteza ajira. Ajabu!?
Ajira kama zinasababisha Serikali kukosa mapato hazina sababu ya kuendelea kuwepo.
 
Madawa yanaingizwa kulitia airpot hiyo sea port ni sub way na hata kama wakuu ndo kazi zao ziko njia nyingi sana south na china wameshindwa kudhibiti na wana teknolojia
Ulishawahi kutoa taarifa hizo wapi?
 
Container hulipiwa ushuru pale mwenye mzigo anapokuja kuuchukua mzigo wake. Kwahiyo kama kontena litapelekwa ICD halitalipiwa ushuru likiwa bandarini...
Sasa iisue ni kulipiwa ushuru wakati lipo bandarini au kulipiwa ushuru?! Kwenye ICDs kunakuwa na maofisa wa TRA... sasa kwanini washindwe kuchukua ushuru ikiwa wapo pale kwa ajili hiyo?!
 
Hujui kitu... wewe ni miongoni mwa wale mavuvuzela!!! ICDs nchi hiii hazikwepeki unless kuwe na continuing decline of imports & exports!

Nimekumbuka mithali ya mfalume Sulemani, Biblia Provb 26: 3 Give a silly answer to a silly question, and the one who asked it will realize that he's not as clever as he think.

Kwa maneno yako haya, .....

Na washawasha!
 
Sasa iisue ni kulipiwa ushuru wakati lipo bandarini au kulipiwa ushuru?! Kwenye ICDs kunakuwa na maofisa wa TRA... sasa kwanini washindwe kuchukua ushuru ikiwa wapo pale kwa ajili hiyo?!
Hilo ndilo swali la kujiuliza mimi na wewe... Kwamba kwanini makontena yanayochukuliwa na wateja tokea bandarini yanalipiwa kodi lakini yakipitia ICDs kulikuwa na ukwepaji kodi. Ndio ujue kwenye ICDs kulikuwa na janjajanja nyingi zilizowahusisha wamiliki, maafisa wa TRA na wateja...
 
Back
Top Bottom