Rasmi sasa: Container zote za import kubaki bandarini

Rasmi sasa: Container zote za import kubaki bandarini

Nimekumbuka mithali ya mfalume Sulemani, Biblia Provb 26: 3 Give a silly answer to a silly question, and the one who asked it will realize that he's not as clever as he think.

Kwa maneno yako haya, .....

Na washawasha!
Cr'ap
 
Hamjajibu hoja ya msingi na wote mnaimba wimbo ule ule "kukosa mapato!" Kwanini serikali ikose mapato kupitia ICDs?
Kaiulize hiyo Serikali na wewe pia jiulize ni kwanini containers zipelekwe ICDs kama bandarini kuna nafasi ya kuziweka?
 
Hilo ndilo swali la kujiuliza mimi na wewe... Kwamba kwanini makontena yanayochukuliwa na wateja tokea bandarini yanalipiwa kodi lakini yakipitia ICDs kulikuwa na ukwepaji kodi. Ndio ujue kwenye ICDs kulikuwa na janjajanja nyingi zilizowahusisha wamiliki, maafisa wa TRA na wateja...
Do you really believe containers zote zinazochukuliwa kutokea bandarini zinalipiwa kodi? Do you?

Lakini kwavile umesema mimi na wewe tusaidiane kutaja sababu; sababu kubwa ni moja tu; WAFANYAKAZI WEZI! Hawa wezi haijalishi mzigo uwe unatolewa kupitia bandarini au kutokea ICDs... hawa wapo tu! Kwa sababu kwenye ICDs kuna maofisa wa TRA... ambao kile amabacho wangekifanya bandarini ndicho wanatakiwa kukifanya kwenye ICDs. Na ni kutokana na ukweli huo ndio maana akina Bakhresa walionekana hawana hatia... kwa sababu utaratibu ni kwamba wao wenye ICDs hawatakiwi kutoa mzigo bila kupata release order toka TRA!! Kama ndivyo, tatizo la msingi sio ICDs bali watendaji wezi!

Kwahiyo, tafsiri ya yote ni kwamba, serikali imeshindwa kudhibiti wafanyakazi wake yenyewe!
 
Kaiulize hiyo Serikali na wewe pia jiulize ni kwanini containers zipelekwe ICDs kama bandarini kuna nafasi ya kuziweka?
Oh! Kumbe ni wale wapiga makofi kwa sababu serikali imesema!

Kwa upande mwingine, sina sababu ya kujiuliza kwa sababu tangia awali nimeshasema afadhali wangetoa hoja kwamba hivi sasa kuna nafasi ya kutosha. Kinyume chake, inaonekana hata agizo husika hujalisoma na ndio maana unaleta habari za bandarini kuwa na nafasi!
 
Hivi kinana na yeye si anamiliki ICD (Bandari kavu)?
 
Inauma sana manake ukingalia kwa makini agizo hili, unagundua kitu kimoja tu: MIZIGO BANDARINI IMEPUNGUA ingawaje wanajifanya kila kitu kipo sawa!
 
Do you really believe containers zote zinazochukuliwa kutokea bandarini zinalipiwa kodi? Do you?

Lakini kwavile umesema mimi na wewe tusaidiane kutaja sababu; sababu kubwa ni moja tu; WAFANYAKAZI WEZI! Hawa wezi haijalishi mzigo uwe unatolewa kupitia bandarini au kutokea ICDs... hawa wapo tu! Kwa sababu kwenye ICDs kuna maofisa wa TRA... ambao kile amabacho wangekifanya bandarini ndicho wanatakiwa kukifanya kwenye ICDs. Na ni kutokana na ukweli huo ndio maana akina Bakhresa walionekana hawana hatia... kwa sababu utaratibu ni kwamba wao wenye ICDs hawatakiwi kutoa mzigo bila kupata clearance order toka TRA!! Kama ndivyo, tatizo la msingi sio ICDs bali watendaji wezi!

Kwahiyo, tafsiri ya yote ni kwamba, serikali imeshindwa kudhibiti wafanyakazi wake yenyewe!
Maadam sina ushahidi kama nilivyouona kwa ICDs nashindwa kusema siamini au laa. Kama upo si kwa kiasi kikubwa kama kule ICDs. Yes Wafanyakazi WEZI... nadhani wale wezi wazuri zaidi walipelekwa kwa makusudi kwenye ICDs ili waibe vizuri.... Kontena ili litoke lazima lifanyiwe clearance na TRA... kwa kifupi wezi wakuu wako TRA... lakini cha kushangaza zaidi utumbuaji haukuwagusa sana hawa watoza ushuru. Na waliotumbuliwa ni makarani wa kawaida tu... Waliowaweka hao makarani hawakuguswa.

Kama ulivyosema, serikali imeshindwa kuwadhibiti wafanyakazi wake wenyewe. Period!
 
Inauma sana manake ukingalia kwa makini agizo hili, unagundua kitu kimoja tu: MIZIGO BANDARINI IMEPUNGUA ingawaje wanajifanya kila kitu kipo sawa!

Hii ndio ile mikataba ya kuwapa Ticts kazi na kuwaacha wafanyakazi wa TPA kupigia makofi meli zinazopita kuelekea gates za ticts. Kwa maneno mengine ticts ilinoga na ikazalisha ubunifu wa icds.

Na washawasha!
 
Oh! Kumbe ni wale wapiga makofi kwa sababu serikali imesema!

Kwa upande mwingine, sina sababu ya kujiuliza kwa sababu tangia awali nimeshasema afadhali wangetoa hoja kwamba hivi sasa kuna nafasi ya kutosha. Kinyume chake, inaonekana hata agizo husika hujalisoma na ndio maana unaleta habari za bandarini kuwa na nafasi!
Iache Serikali itekeleze majukumu yake ndiyo maana ipo,
 
Mungu anawalipia,kuna ICD moja siitaji jina,walishanichezea mchezo hela ikanitoka,sasa imekula kwao,wanatengeneza visababu vya kijinga ili mradi wapige hela.
 
Hii ndio ile mikataba ya kuwapa Ticts kazi na kuwaacha wafanyakazi wa TPA kupigia makofi meli zinazopita kuelekea gates za ticts. Kwa maneno mengine ticts ilinoga na ikazalisha ubunifu wa icds.

Na washawasha!
Yaani unaonekana wazi kwamba hata ni namna gani ICDs zinafanya kazi hujui!
 
Kama majukumu yenyewe ni ya kijinga watu lazima wataya-crash ndo maana kuna uhuru wa watu kutoa maoni!
Una hakika kua ukisema "majukumu ya kijinga'' ndiyo utakua umeonyesha kiwango chako cha ustaarabu?
 
Ni mara chache sana kwa nchi za kiafrika kupata Rais kama Magu kwakweli anasitahiri pongezi kubwa. Nchi ijiandae kwa maendeleo makubwa na ya kasi.
 
Tuna wa amini hawa kama walivyo ona icd ulikuwa utaratibu mbovu watakuja na utaratibu mwingine wa manufaa kwa taifa.

Huwezi kuta watu wanalima na wana viwanda vya mihadarati, eti Kiongozi makini uache kuchukua hatua kwa kuwa wajiriwa wa hiyo sekta ya mihadarati ni wengi watakosa ajira. Ndio mnalolitetea hapa. Mtu makini ataisambaratisha hiyo biashara ya mihadarati. Mh Rais yuko makini na kasambaratisha icds za kihunihuni.

Na wahawasha!

Suala la ajira ni jambo dogo sana, wewe sijui ni lipi linalokufanya ushindwe kuelewa kwamba uhitaji ndio uliopelekea kuanzishwa ICD, sio wafanyabiashara walijenga ICD ndio wakaomba kupewa leseni ila msongamano wa makasha pamoja na mfumo mgumu unaochukua muda mrefu kutoa makasha bandarini ndivyo vilivyosababisha serikali kuomba wafanyabiashara wenye uwezo wasaidie kupunguza/kuondoa msongamano(congestion) bandarini.

ungekuwa muungwana ungeziorodhesha hizo ulizoziita za kihunihuni.
 
Pongezi kwa Serikali , Ni uamuzi wenye maslahi ya uuma , hawa jamaa walikuwa wana make super normal profits ambayo sasa itatudi Serikalini Ili ipatikane fedha za Dawa, maji, barabara n.k. Sasa tutarajie makusanyo ya TPA yaongezeke Sio yabaki Kabla ya uwepo wa ICDs ! Bado fupa la Ticks Kama wataweza irudisha kwa TPA itakuwa vizuri sana kwa manufaa ya uuma wa waTZ
 
Ni mara chache sana kwa nchi za kiafrika kupata Rais kama Magu kwakweli anasitahiri pongezi kubwa. Nchi ijiandae kwa maendeleo makubwa na ya kasi.

Ni vizuri kuwa na matumaini ya maendeleo kuliko kukata tamaa. ila angalia facts(kweli) ndio ujipe matumaini.
 
Back
Top Bottom