Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Habari ingekuwa imekamilika; kwa maana yenye uthibitisho, ningemwalika Nguruvi3 i! Impact ya hizi ICDs ni kubwa sana kiuchumi!! Hapa wanatakiwa kukumbuka WHY ICDs!!! ICDs zipo duniani kote ili kutoa mwanya kwa bandari ku-handle kila mzigo unaoingia vingenevyo itafika wakati meli inashindwa kushusha mizigo kwa kuwa hamna pa kuweka!
RIP Microeconomic sector...
Hata rushwa iko pia Duniani kote lkn haimaanishi kwamba ni lazima na TZ kwetu iwepo!
Rushwa free TZ Inawezekana!