Sioni tatizo kwenye maamuzi lakini je
1. Bandari ina uwezo wa kuhifadhi mizigo yote?
2. Tuliopo hapa mjini tunajua kuwa hakukuwa na ICD huko miaka ya nyuma, nini kilipelekea kuanzishwa kwake?
Sote tunahitaji maendeleo ya nchi hii lakini mipango iwe yenye umakini na isiyozusha taharuki na mkanganyiko.
Kama Bandari itakuwa ikifanya kazi kama inavyofanya sasa nina mashaka na ufanisi wa hili.
Ila kama Bandari imejipanga kumudu hili mi naona sawa tu kama ni njia bora ya kuboresha mapato.
Nia ya kuweka ICD ilikua kuifanya bandari ipumue kwa kuzidiwaKwa mara nyingine tunaelekea kuona zaidi ya watu 50,000 wanaenda kupoteza ajira baada ya serikali kupitia SUMATRA kutoa waraka wa kuzuia mizigo yote inayoingia bandarini kubaki hapo tofauti na awali ambapo mteja alikuwa anaweza kuamua container yake akaitolee Icd atakayochagua.
Waraka huo ambao umetolewa tarehe 10, 2016 unaelekeza amri hiyo imeanza kutekelezwa tangu tarehe 7/10/16.
Kwa uamuzi huo wa serikali maana yake sasa zile ICD zote zitabaki bila kazi na kupelekea wafanyakazi karibu wote kupoteza ajira.
Mtandao upo chini,siku tatu,unakula storage mpaka unahisi kizunguzunguMkuu kuwa mkweli,
kwenye mkataba wa TPA na ICD kuna kipengele ki nasema kuwa, mizigo itapelekwa IDC ikiwa tu eneo la kuhifadhia mizigo hiyo au Containers ndani ya Bandari litakuwa limejaa.
Sasa ICD nyingi zikawa zina mtandao wao hapo bandarini ambapo mizigo ikifika tu hata kama ndani ya Bandari bado kuna nafasi ya kuhifadhi mizigo ilikuwa inapelekwa ICD hivyo kuikosesha TPA mapato yake na wakati mwingine ICD zilikuwa zinawacheleweshea wateja wao mizigo yao kwa makusudi ili waweze kupata mapato.
kwa hatua hii, naishukuru sana serikali kwa hatua hii.
Wenye mipango thabiti jibu lingekuwa TUMESHAPANUA eneo la bandari.Tutapanua eneo la bandari
NDIO IMEKULA KWENU, MAENDELEO SIO KUZUNGUSHA MIKONOMkuu,hii imekula kwetu.
Mi huwa najiuliza; hivi kuna siku tutasikia hotuba isiyo na malalamiko na lawama tka kwa mkuu kwenda wateule wake na mkuu wa awamu iliyopita?
Hivi haiwezekani mkuu kufanya kazi kwa weledi bila hata kwenda kumwaga hasira kwenye majukwaa?
Hivi haiwezekani kufanya kazi bila kuhitaji kushangiliwa?
Mwaka unawisha kwa kusikia mihadhara yenye mihemuko na lawama zaidi kuliko maneno chanya ya kuleta hamasa bila ku-inculcate nidhamu ya woga kwa watumishi.
Just thinking aloud!
Sadly, watanzania walio wengi wanapenda siasa nyepesi anazofanya Magufuli. Siasa zisizo na substance, populistic na sadistic. Maana watanzania wengi walio masikini wana mentality kwamba ukiwa na uwezo wa fedha na mali, basi wewe ni mwizi ama fisadi. Dhana ambayo Magufuli pia anayo kutokana na poverty mentality yake. Partly, ujamaa unaweza kuwa sababu ya haya.
Tuletee nakala ya waraka huo, tuweze kufanya tathmini wenyewe.Kwa mara nyingine tunaelekea kuona zaidi ya watu 50,000 wanaenda kupoteza ajira baada ya serikali kupitia SUMATRA kutoa waraka wa kuzuia mizigo yote inayoingia bandarini kubaki hapo tofauti na awali ambapo mteja alikuwa anaweza kuamua container yake akaitolee Icd atakayochagua.
Waraka huo ambao umetolewa tarehe 10, 2016 unaelekeza amri hiyo imeanza kutekelezwa tangu tarehe 7/10/16.
Kwa uamuzi huo wa serikali maana yake sasa zile ICD zote zitabaki bila kazi na kupelekea wafanyakazi karibu wote kupoteza ajira.
Kwanini uwe tajiri kwenye nchi masikini?Sadly, watanzania walio wengi wanapenda siasa nyepesi anazofanya Magufuli. Siasa zisizo na substance, populistic na sadistic. Maana watanzania wengi walio masikini wana mentality kwamba ukiwa na uwezo wa fedha na mali, basi wewe ni mwizi ama fisadi. Dhana ambayo Magufuli pia anayo kutokana na poverty mentality yake. Partly, ujamaa unaweza kuwa sababu ya haya.
Na mimi nilikuwa najiuliza hili swali, ICD Moja ina staff wangapi? na ziko ngapi?Tupe mahesabu umepataje ajira 50 elfu zitapotea.
Akikaaa kimya mtspiga kelele akiongea napo pia keleleMi huwa najiuliza; hivi kuna siku tutasikia hotuba isiyo na malalamiko na lawama tka kwa mkuu kwenda wateule wake na mkuu wa awamu iliyopita?
Hivi haiwezekani mkuu kufanya kazi kwa weledi bila hata kwenda kumwaga hasira kwenye majukwaa?
Hivi haiwezekani kufanya kazi bila kuhitaji kushangiliwa?
Mwaka unawisha kwa kusikia mihadhara yenye mihemuko na lawama zaidi kuliko maneno chanya ya kuleta hamasa bila ku-inculcate nidhamu ya woga kwa watumishi.
Just thinking aloud!
Wenye ICDs wataisoma namaba na wale wezi wa containers or contents za containers wataisoma namba.!
Hao vijana wamejaa ujinga....hivi kama makontena kutoka nje yalizalisha ajira 5000 sasa kama yatabaki bandarini tafsiri yake ni kuwa ajira zitaongezeka mamlaka ya bandari...dhumuni la hili suala ni kuwa wenye ICD walikuwa ni wajanja....walishirikiana na maafisa wa bandari kuhifadhi mizigo ilihali bandari ina nafasi.katika uchambuzi wako wa huo waraka hujaona faida yeyote ya mizigo kuwa monitored, nje ya hasasra uliyo ona.
Wahanga wa tetemeko la ardhi wasema msaada ya biskuti sasa basiLazima Bombadia zipatikane, ila madawa na chanjo msubiri kwanza au mkawaone Prof Maji mafupi & Co.
MAANA UA ICD ZA NJE MIZIGO IMEJAA BANDARINI KAMA AIJAJAA.MNATAKA ZIJEHUKO KUFANYA NN..NA SIKU ZA KUOKOA MAVITUYENU ZIMEONGEZWA NN SHIDA ELEWENI POLEPOLE MTAELEWAKwa mara nyingine tunaelekea kuona zaidi ya watu 50,000 wanaenda kupoteza ajira baada ya serikali kupitia SUMATRA kutoa waraka wa kuzuia mizigo yote inayoingia bandarini kubaki hapo tofauti na awali ambapo mteja alikuwa anaweza kuamua container yake akaitolee Icd atakayochagua.
Waraka huo ambao umetolewa tarehe 10, 2016 unaelekeza amri hiyo imeanza kutekelezwa tangu tarehe 7/10/16.
Kwa uamuzi huo wa serikali maana yake sasa zile ICD zote zitabaki bila kazi na kupelekea wafanyakazi karibu wote kupoteza ajira.
MPWA KWAKWELI UMEMALIZA M NILIMPA.MAKAVU NKAJUA ATAENDA KUTAFUTA HIKOKIPENGELE....Mkuu kuwa mkweli,