Ucheleweshaji makusudi kivipi? Kuchelewesh kwamba meli zinaingia halafu zinaacha kushusha mzigo kwa makusudi, au? The problem you guys mnaongea mambo msiyoyafahamu! Na inaonekana hata taratibu za kupeleka makontena ICDs hamzifaahamu! Haya naomba unisaidie wewe sasa... tuseme umeagiza mzigo kontena 100 lakini unataka "kuzichelewesha makusudi" ili utumie ICDs! Now tell me... unachelewesha chelewesha vipi na ukifanya hivyo inakusaidia nini!Makasha ya kwenda kwenye icds hayatapatikana kama hakutakuwa na ucheleweshaji wa makusudi ili icd zipate makonteana. Icd zimetokana na artificial demand ya storage facility kwa ucheleweshwaji wa mizigo wa makusudi na kimkakati. Na hapo ndipo mh Rais na serikali yake wanapotakiwa wawe makini, otherwise it will be the same old story.
Na washawasha!