Rasmi sasa: Container zote za import kubaki bandarini

Mi huwa najiuliza; hivi kuna siku tutasikia hotuba isiyo na malalamiko na lawama tka kwa mkuu kwenda wateule wake na mkuu wa awamu iliyopita?
Hivi haiwezekani mkuu kufanya kazi kwa weledi bila hata kwenda kumwaga hasira kwenye majukwaa?
Hivi haiwezekani kufanya kazi bila kuhitaji kushangiliwa?
Mwaka unawisha kwa kusikia mihadhara yenye mihemuko na lawama zaidi kuliko maneno chanya ya kuleta hamasa bila ku-inculcate nidhamu ya woga kwa watumishi.

Just thinking aloud!

utaelewa tuu, tulia sindano ikuingie.
 
Tena imekula kwetu kupita maelezo. Kilichobaki kuvumilia maumivu mpaka tutakapopata fursa ya kufanya mabadiliko!
Nilidhani haya ndiyo mabadiliko. Au mnataka kurudisha mizigo ICD. Si mtakuwa mnarudia HISTORIA mkuu au??
 
Kwa mara nyingine tunaelekea kuona zaidi ya watu 50,000 wanaenda kupoteza ajira baada ya serikali kupitia SUMATRA kutoa waraka wa kuzuia mizigo yote inayoingia bandarini kubaki hapo tofauti na awali ambapo mteja alikuwa anaweza kuamua container yake akaitolee Icd atakayochagua.

Waraka huo ambao umetolewa tarehe 10, 2016 unaelekeza amri hiyo imeanza kutekelezwa tangu tarehe 7/10/16.

Kwa uamuzi huo wa serikali maana yake sasa zile ICD zote zitabaki bila kazi na kupelekea wafanyakazi karibu wote kupoteza ajira.
Kwanza makontena yenyewe yapo ?
 
Tatizo si kodi ndg hapa ni ajira. Nchi inapokua na wasio na ajira wengi ni tatizo. Viongozi wote duniani hujivunia kuongeza ajira lkn hapa kwetu tunasifia MTU anae poteza ajira. Ajabu!?
Kuna kiongozi wa nchi hii anafurahia madereva wa malori kukosa kazi .
 
Kwa mara nyingine tunaelekea kuona zaidi ya watu 50,000 wanaenda kupoteza ajira baada ya serikali kupitia SUMATRA kutoa waraka wa kuzuia mizigo yote inayoingia bandarini kubaki hapo tofauti na awali ambapo mteja alikuwa anaweza kuamua container yake akaitolee Icd atakayochagua.

Waraka huo ambao umetolewa tarehe 10, 2016 unaelekeza amri hiyo imeanza kutekelezwa tangu tarehe 7/10/16.

Kwa uamuzi huo wa serikali maana yake sasa zile ICD zote zitabaki bila kazi na kupelekea wafanyakazi karibu wote kupoteza ajira.
Tupe mahesabu umepataje ajira 50 elfu zitapotea.
 
Mi huwa najiuliza; hivi kuna siku tutasikia hotuba isiyo na malalamiko na lawama tka kwa mkuu kwenda wateule wake na mkuu wa awamu iliyopita?
Hivi haiwezekani mkuu kufanya kazi kwa weledi bila hata kwenda kumwaga hasira kwenye majukwaa?
Hivi haiwezekani kufanya kazi bila kuhitaji kushangiliwa?
Mwaka unawisha kwa kusikia mihadhara yenye mihemuko na lawama zaidi kuliko maneno chanya ya kuleta hamasa bila ku-inculcate nidhamu ya woga kwa watumishi.

Just thinking aloud!
Sadly, watanzania walio wengi wanapenda siasa nyepesi anazofanya Magufuli. Siasa zisizo na substance, populistic na sadistic. Maana watanzania wengi walio masikini wana mentality kwamba ukiwa na uwezo wa fedha na mali, basi wewe ni mwizi ama fisadi. Dhana ambayo Magufuli pia anayo kutokana na poverty mentality yake. Partly, ujamaa unaweza kuwa sababu ya haya.
 
Tatizo si kodi ndg hapa ni ajira. Nchi inapokua na wasio na ajira wengi ni tatizo. Viongozi wote duniani hujivunia kuongeza ajira lkn hapa kwetu tunasifia MTU anae poteza ajira. Ajabu!?
Utavunia kuongeza ajira hata kama ajira hizo hazina ufanisi au faida yoyote kwenye maendeleo ya taifa?
 
Sadly, watanzania walio wengi wanapenda siasa nyepesi anazofanya Magufuli. Siasa zisizo na substance, populistic na sadistic. Maana watanzania wengi walio masikini wana mentality kwamba ukiwa na uwezo wa fedha na mali, basi wewe ni mwizi ama fisadi. Dhana ambayo Magufuli pia anayo kutokana na poverty mentality yake. Partly, ujamaa unaweza kuwa sababu ya haya.
Halaf washangiliaji wengi ni wale ambao wala hawajui mzunguko wa hela unaendaje, wao wanadhan kwa vile flan katumbuliwa labda hizo hela zitaamia kwao
 
Kwa mara nyingine tunaelekea kuona zaidi ya watu 50,000 wanaenda kupoteza ajira baada ya serikali kupitia SUMATRA kutoa waraka wa kuzuia mizigo yote inayoingia bandarini kubaki hapo tofauti na awali ambapo mteja alikuwa anaweza kuamua container yake akaitolee Icd atakayochagua.

Waraka huo ambao umetolewa tarehe 10, 2016 unaelekeza amri hiyo imeanza kutekelezwa tangu tarehe 7/10/16.

Kwa uamuzi huo wa serikali maana yake sasa zile ICD zote zitabaki bila kazi na kupelekea wafanyakazi karibu wote kupoteza ajira.

Shukrani sana JPM.
Ziba kabisa mianya ya rushwa. Watu wapate riziki halali
 
Ni kweli uongozi ni kipaji cha kuzaliwa sio kujifunzia jukwaani au ikulu! Kuna sehemu tumekosea! Pia kiongozi mzuri akubali kushaurika!
 
Hata ile ya Kamata Kariakoo nayo inapigwa ban!? Dah! Msomali na meno yake ya tembo bora tu uachie ukatibu mkuu.
 
I
50000 tu? Mi nilifikili labda watu million 3 wamekosa ajira.

Kuendelea kufisadi nchi kwa kisingizio cha ajira washindwe na walegee
Insanity....., imprudence...., what is that you want to tell..., 50,000 missing jobs not an issue...!!!! If 3 million an issue then not ufisadi...
Haya mheshimiwa!!!
 
Sioni tatizo kwenye maamuzi lakini je
1. Bandari ina uwezo wa kuhifadhi mizigo yote?
2. Tuliopo hapa mjini tunajua kuwa hakukuwa na ICD huko miaka ya nyuma, nini kilipelekea kuanzishwa kwake?
Sote tunahitaji maendeleo ya nchi hii lakini mipango iwe yenye umakini na isiyozusha taharuki na mkanganyiko.
Kama Bandari itakuwa ikifanya kazi kama inavyofanya sasa nina mashaka na ufanisi wa hili.
Ila kama Bandari imejipanga kumudu hili mi naona sawa tu kama ni njia bora ya kuboresha mapato.
 
Back
Top Bottom