My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,604
- 11,897
Upweke unakujaje Wakat Nipo ?[emoji41][emoji41]Kweli ndio kuombeana upweke huku? Nilitegemea usikitike.
Tuungane maana hata Mimi nimeachwa.
Mimi pia nimeachwa jana saa 3: 30 usiku baada ya kufumania msg za mchepuko wangu
Tutafanyaje sasa maisha ndivyo yalivyo 😀 😀Duh...maisha hayana fair!!! Hadi wewe!!
Tutafanyaje sasa maisha ndivyo yalivyo 😀 😀
tuliachwa tuunde bond mpya unasemajeLol! Pole.
Mimi pia nimetoka kuachwa hapa masaa kadhaa kabla ya valentine's day.
Umesema tukutane hapa tufanyaje? Tukaombeane msamaha? Au huu mkutano wa hapa unahusu nini?
Acha tu nipigwa UA jeusi
Nakushauri kaza hivyo hivyo hamna kutoa hela. Hahaha
Ila kuwa makin wadau tunakuambia usihonge ila wenzako tnakusnitch.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mume wa MTU sumu