Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,283
- 2,043
Naanza kuamini kuwa CCM katika ILANI yake ya Uchaguzi mwaka 2025 suala la AJIRA kwa Vijana Wasomi litakuwa ni BODABODA,UMACHINGA na KUBET.
Nasema hivyo kutokana na CCM kushindwa kabisa kutengeneza nafasi za Ajira kwa Wasomi wetu.
Nchi haina Viwanda ambavyo vingechukuwa Wasomi wengi badala yake Wasomi wetu wamekuwa wakiranda na Bahasha za kaki kutafuta Ajira bila Mafanikio na kuamua kuingia Mikataba ya kuendesha Bodaboda na wamiliki Kufanya Umachinga na wengine kushinda kwenye Vijiwe vya Kubet hayo ndio maisha na Ajira za Wasomi wetu.