Mtu mbalimbali
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,075
- 2,163
Good day Great thinkers!
Kufutia mjadala mpana unaoendelea kuhusu katiba mpya huku kukiibuka mitazamo mbalimbali juu ya kuwezekana au kutokuwezakana kwa upatikanaji wa katiba hiyo, umuhimu wake na nini matarajio ya waTanzania.
Nimeona ni vyema nikawasogezea Pdf ya Rasimu ya Katiba ya Jahmuri ya Muungano wa Tanzania ili tupate kuona kipi hasa kilicho pendekezwa na waTanzania.
Ukipata nafasi pitia PDF hii.