Ras simba tuhurumie

Ras simba tuhurumie

Mimi nimesoma kwa Ras simba Mwaka 2015 ,alinitoa kwenye Giza Nene .Ras simba anafundisha mfumo wa man tu man,anawalimu wengi kila mwanafunzi anakuwa na mwalimu wake kwa kila unit,ukitaka kwenda unit nyingine lazima upass mtiani,walimu wake Wana uvumilivu wa hari ya huu sana wanaweza kukufundisha unit moja hata mara kumi ilimradi mwanafunzi anafauli akuna kupitishana mpaka aelewe,kingine kama mwanafunzi anakichwa ngumu anapewa special class yani kama kalipia Laki 2,anaongeze laki moja anasoma darasa la muda mrefu mpaka miezi 6,
Kwa upande Wangu amenisaidia sana kwa nilipata Kazi ya kufundisha English Chuo cha veta ,nilijaribu kujilinganisha na mwalimu wa English hawanifiki hata kidogo,Pili nilifanikiwa kupata job Japan ,kwa sasa nipo Japan nikirudi bongo lazima nimtafute
Reply yako imeniacha na maswali mengi kuanzia uandishi, aina ya lugha uliyotumia mpaka mafanikio
Hii ni reply yako ya pili tangu ujiunge JF mwaka 2014 bado nazidi kuwa na maswali
 
Jamaa tapeli leo nimeona bango lake hapa mwanza
92c4d6f7d3e6d83ea1400c26a9f1fddd.jpg
 
kama nchi mmegeuza kujua kiingereza ni moja Ya kigezo cha mafanikio YY afanyaje ....zile fursa wanazoimba clouds ni zipi ? au [HASHTAG]#njeYabox[/HASHTAG] Ya HK wazir wa afya unadhan n kwa aina gan
 
Kwa ninavyoelewa, lugha ya mazungumzo ni matumizi ktk mazingira, sio kanuni. Mtu akiwekwa kwenye mazingira ya kuitumia lg husika ataitumia tu. Hizi kanuni huwahusu wanaojifunza lugha hiyo kama somo. Aidha, mambo ya kanuni huweza kuwa mepesi yakielezwa baada ya mtu kujua matumizi yake ktk mazingira husika.

Kuna watu wamemeza kanuni bila kuweza kutengeneza hata sentensi moja ktk mazingira husika.
 
Reply yako imeniacha na maswali mengi kuanzia uandishi, aina ya lugha uliyotumia mpaka mafanikio
Hii ni reply yako ya pili tangu ujiunge JF mwaka 2014 bado nazidi kuwa na maswali
Hahaha ....kaja kurusha mateke ...
 
Haa Ras Simba Ni Mjanjamjanja Kama Janjajanja Primary School

Hivi Mh Mnyaa Siku Alipoomba Kura Kwenye Bunge La East Africa Pale Mwisho Alikikoroga Kuliko Hata Ras Simba.

Na Yule Aliyesema Frent Foji
Huyu Habari Zake Zimeizuiliwa Ila Kwanini Mnaziweka Frent Foji
Hahahaa 'frent poj '
 
Nadhani atakuwa ndie ras simba mwenyewe huyu
Mimi nilikuwa mwanafunzi wake ,amenisaidia sana ,Ras simba ni zaidi ya British council .kuna wanafunzi wa British council walishindwa kuongea na kuandika kingereza fasaha laki kwa Ras simba they speak fluently, jamani Mimi nilikuwa sijui kingereza hata kidogo nimejifunza kwa Ras Simba.Ras simba halikataa kuajiliwa British council, Jamaa yupo nondo na njia anazotumia ni sahihi mno,mfano Musa ameondoka muda sasa hivi,wakati uliopo mtimilifu kwa kingereza we write like that we start with subject + helping verb has/have + verb in past particles = Musa has gone recently.kama unabisha niulize swali lolote la kingereza nikuelekeze kwa muujibu wa Ras simba
 
Back
Top Bottom