Ras simba tuhurumie

Ras simba tuhurumie

Kinachokera radio za kidini ndio zinarusha haya matangazo
mshana jr . Mimi sitajadili ujumbe ulio kwenye tangazo kuwa ''usipojua kiingereza kwa fedha'' bali nataka kujadili kipengele cha punguzo la laki tano kwenda laki mbili. Hizi kwenye biashara wanaita ''psychological prices''. Ni mbinu za kufanya mnunuzi avutiwe na bidhaa kwa kuona kuwa amepunguziwa! Unajua hata dukani ukiweka label ya bei kuwa bidhaa lilikuwa sh 10,000 lakini sasa ni sh 7500 wanunuzi watafuvutiwa zaidi. Au label ya bidhaa inaandikwa sh 9,999 badala ya 10,000. Ni mbinu tu ya biashara na inakubalika!
 
Laki tano kama sikosei,

la saba utapigwa usaili ukiweza unaenda ukibuma wanakwambia kajipige msasa kidogo kisha urudi tena.

Wanazingatia, Kusikia na kuelewa, sasa kama huelewi hata kidogo kinachozungumzwa, darasa lazima liwe gumu.
Ahsante, laki tano duu! lakini sio mbaya ngoja niaze kudunduliza.

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Ukidai hela yako anakuuliza baba anaitwaje kwa kingereza utasema labda father anakwambia ulikuja hujui so ushajua ww kaombe kazi.

(Ni mawazo yangu tuu)
 
Jamaa kawekeza mno kwenye matangazo.
Sijajua kama kuna uhalisia kati ya matangazo na elimu inayotolewa.
Matangazo ni kujinadi tu hats kama hakuna uhalisia matangazo mangapi yanatoka na mambo yasio na uhalisia mf matangazo ya cement, sabuni na magodoro. Kisheria yanaruhisiwa inajulikana km Invitation to Treat kwamba katika tangazo la kujinadi si lazima upate kile kinachotangazwa.
 
Sijawahi kukutana na Ras mwenye akili sawasawa katika tembea na maisha yangu yote popote pale nilipokuwa, hivyo sishangai hayo Mazingaombwe ya Kisanii ya huyo Ras Simba wenu.
unakosea sana ndugu yangu ku generalize tatizo la mtu mmoja kuwa matatizo ya watu wote,how sure you are kuwa wewe sio punguani??sometimes kichaa huona wengine hawana utimamu
 
Dk Mwaka nae alikua hivi hivi kukbe kina mama wakienda wanapewa unaga wa maranda ya mbao mpaka mtu katajirika.

Hii nchi bwana. Dereva nishushe tafadhali
i
 
Ada laki tano Sikh hiyo nilipo sikia hili tangazo nilichoka ...alfu Dada yangu ndio anataka akssome
 
Nchi ya Wadanganyika kila habari inayotangazwa au kuzungumzwa sana raia nao wanaenda hivyo hivyo. Ni kama matangazo ya kujiunga freemasons uswahili kila kitaa tangazo cjui mamlaka ziko wap
Wengi wanaotoa matangazo na vipeperushi vya kujiunga na Freemason ni ...wachaga..aka.. matapeli, jamaa mmoja kauza bodaboda yake kwa 600,000 akawatumia ili ajiunge, baada ya kupokea hizo hela...simu yao haipatikani teeeeena. Jamaa anatembelea ndala zenye ranging tofauti. Watz wazijua fursa, wako tayari kusajiri simu zao kwa jina la shetani--ibirisi mradi wawaibie wajinga.

Kama we ni maskini na unadhani umaskini ulionao haukutoshi, jiunge Freemason.

Mithali 28:19 "Alimae shamba lake atapata chakula tele, Bali afuate mambo ya upuuzi atapata umaskini wa kumtosha"
 
Back
Top Bottom